Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
2007 miliuana vibaya 2013 na 2017 Raila amezuia lakini 2022 Raila hatakuwepo. Kenya ni very very shameful country uchaguzi umeisha badala ya kuwatumikia wananchi serikali ya Jubilee inaanza kujipanga jinsi ya kuwaibia NASA kura 2022.Nyie waakilishi wa shetwan duniani mlisema kura ya 2013 Kenya itakuwa Somalia. Kura ya 2017 mkasema hivo hivo. Sasa mmeanza kutabiri ya 2022. Sijui mnajiona nyie ndo kina nani. Nchi yenu kwenye demokrasia bado mpo pale pale 1962. Shughulikeni na vya kwenu bana, Kenya ni ya wakenya.
Sasa hivi hali ya maisha ya mkenya ipo juu unga na mafuta imepanda bei sana.
Kwa kutuita watanzania mashetani inabidii uwaiite hao viongozi wa Jubilee mashetani wakubwa