pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kweli simyuwi, wewe unamyua? Asee hicho si kikamba jombaa? Kama unamyua nieleze basi ili nami pia nimyuwe. 😀😀 Wewe ni myuayi sana. 😀😀Linganisha utajiri wa Ruto na marais wote walio tawala Tanzania kuanzia Nyerere. Bila kujitajirisha tena tena kwa asilimia fulani kwa mali za wizi-wizi angefika hapo alipo leo? (Nadhani humyuwi Ruto)
Kweli simyuwi, wewe unamyua? Asee hicho si kikamba jombaa? Kama unamyua nieleze basi ili nami pia nimyuwe. 😀😀 Wewe ni myuayi sana. 😀😀
Samahani jombaa, ila wewe ndo umevuruga mawazo yangu na hayo maneno yako ya kuyuana. 😀 Sijui kwanini unabadilisha gia angani. Ulisema Kenya hamna kiongozi mashuhuri aliyetoka kwenye familia ya kipato cha chini. Ulipoambiwa Ruto, ukaanza kusema kwamba sasa hivi yeye ni tajiri. J.K ni masikini hadi sasa? Mkapa je?Ukikosa hoja unakimbilia vihoja. Swali kwako, ni nani ameweza kushika nafasi ya juu Kenya bila kuwa na pesa nyingi? na hapo hatujauliza uhalali wa hizo pesa.
Samahani jombaa, ila wewe ndo umevuruga mawazo yangu na hayo maneno yako ya kuyuana. 😀 Sijui kwanini unabadilisha gia angani. Ulisema Kenya hamna kiongozi mashuhuri aliyetoka kwenye familia ya kipato cha chini. Ulipoambiwa Ruto, ukaanza kusema kwamba sasa hivi yeye ni tajiri. J.K ni masikini hadi sasa? Mkapa je?
Sidhan kama usemacho kina ukwel ndaninyakeMawaziri wanateuliwa kutokana ukabila, na sio uwezo, hii ni aibu.
Sina haja ya kwenda mbali na huu mjadala, lakini siasa ya Kenya inajulikana bila hela huendi popote kisiasa. Ruto ni mfano mzuri sana wa kutokutoa fursa sawa kwa kila raia wa Kenya. Na hiyo inaenda ndani zaidi kiasi kwamba uongozi unatolewa kikabila, bila Moi Ruto asingefika alipo hapo, Moi+Ruto= Kalenjin. Tena inaenda mbali zaidi kwamba hela wanazo jitengenezea zinaishia kwenye mifuko ya rushwa kitu kinachozidi kunyima haki sawa kwa kila raia.Mwanzi1 hujui siasa za Kenya, hela za Ruto amezipata juzijuzi tu. Kabla ya hapo ilikuwa ni nguvu za profesa wa siasa MO1, ndo zilikuwa zinamfikisha bunge. Au hata hujui historia yake? Ruto alikuwa muuza kuku. Tena hawker, my friend. We unasema kazi ya mwalimu ni ya umasikini? Ruto alikuwa anauza kuku kwenye stendi ya mabasi kule Eldoret town.
Now you have come back with actual arguments and not the previous egoistic am better than you opinions. I think the only diffrence between Kenyan and Tanzanian politicians is that your politicians stash majority of their wealth outside their country. They have an obsession with retaining a clean image while its clear most of them them live the glittery life.But Ruto’s massive empire, unshaken by hismulti-million weekly donations, may once again raise questions about the Hustler’s source of wealth.Ruto’s plush Eldoret home is almost three quarters done and the Chinese contractors are still on sight.
Naona humpendi kabisa Ruto. Je JPM? John Paul Mwirigi aliyechaguliwa kama mbunge na wakenya kule Imenti, Meru County. Kijana mdogo sana hata kazi hakuwa nayo. Alifanya kampeni akizunguka na bodaboda na ile sweta yake moja. Ruto alipoingia siasa enzi hizo chama ndo kikikuwa kila kitu. Si kabila, si hela KANU tu. Ruto alijenga jina alipokuwa kwenye Y2K, Youth for KANU '92. Hapo ilikuwa 'loyalty' yako ndo inakujenga, kidole kimoja juu kwenda mbele. Wewe jombaa upo biased sana tu kwenye maswala yeyote kuhusu Kenya.Sina haja ya kwenda mbali na huu mjadala, lakini siasa ya Kenya inajulikana bila hela huendi popote kisiasa. Ruto ni mfano mzuri sana wa kutokutoa fursa sawa kwa kila raia wa Kenya. Na hiyo inaenda ndani zaidi kiasi kwamba uongozi unatolewa kikabila, bila Moi Ruto asingefika alipo hapo, Moi+Ruto= Kalenjin. Tena inaenda mbali zaidi kwamba hela wanazo jitengenezea zinaishia kwenye mifuko ya rushwa kitu kinachozidi kunyima haki sawa kwa kila raia.
Haha bias, sijakuona wewe ukuwa neutral hapa JF. Anyway John Paul Mwirigi akifikia kuwa rais wa Kenya bila kuwa tajiri kwanza ni-tagNaona humpendi kabisa Ruto. Je JPM? John Paul Mwirigi aliyechaguliwa kama mbunge na wakenya kule Imenti, Meru County. Kijana mdogo sana hata kazi hakuwa nayo. Alifanya kampeni akizunguka na bodaboda na ile sweta yake moja. Ruto alipoingia siasa enzi hizo chama ndo kikikuwa kila kitu. Si kabila, si hela KANU tu. Ruto alijenga jina alipokuwa kwenye Y2K, Youth for KANU '92. Hapo ilikuwa 'loyalty' yako ndo inakujenga, kidole kimoja juu kwenda mbele. Wewe jombaa upo biased sana tu kwenye maswala yeyote kuhusu Kenya.
Ukichanganya akili ya viongozi wote wa Kenya wa Jubilee na Nassa hakuna anauwezo wa akili kama Rais MagufuliNaskia huko kwenu anateuliwa kwa jinsi anaweza kuwashinda wenzake kumsifu JPM.
Ndio kutoka kuwa muuza kuku 20 years ago mpaka kuwa Bilionea.Unamaanisha yule tajiri kuliko matajiri wengine.
Aisee, labda na mimi nirudie biashara ya kuku. Naweza kuwa billionaire.Ndio kutoka kuwa muuza kuku 20 years ago mpaka kuwa Bilionea.
Hiyo ni kweli brother hakuna viongozi wenye uwezo wa kumfukia Magufuli Kwenye akili zake finyu na ndiyo sababu nashangaa kama Kiongozi ana akili finyu kama huyo wenu jee wananchi si ni kama wako in a big mental hospital called Tanzania. Adios loser...Ukichanganya akili ya viongozi wote wa Kenya wa Jubilee na Nassa hakuna anauwezo wa akili kama Rais Magufuli
Mnashindwa hata kuunda baraza la mawaziri kwasababu ya ukabila you must understand Kenya ita explode next election kama mtalazimisha muuza kuku kuwa PresidentHiyo ni kweli brother hakuna viongozi wenye uwezo wa kumfukia Magufuli Kwenye akili zake finyu na ndiyo sababu nashangaa kama Kiongozi ana akili finyu kama huyo wenu jee wananchi si ni kama wako in a big mental hospital called Tanzania. Adios loser...
Hiyo ni kweli brother hakuna viongozi wenye uwezo wa kumfukia Magufuli Kwenye akili zake finyu na ndiyo sababu nashangaa kama Kiongozi ana akili finyu kama huyo wenu jee wananchi si ni kama wako in a big mental hospital called Tanzania. Adios loser...
Nyie waakilishi wa shetwan duniani mlisema kura ya 2013 Kenya itakuwa Somalia. Kura ya 2017 mkasema hivo hivo. Sasa mmeanza kutabiri ya 2022. Sijui mnajiona nyie ndo kina nani. Nchi yenu kwenye demokrasia bado mpo pale pale 1962. Shughulikeni na vya kwenu bana, Kenya ni ya wakenya.Mnashindwa hata kuunda baraza la mawaziri kwasababu ya ukabila you must understand Kenya ita explode next election kama mtalazimisha muuza kuku kuwa President