Mungu ampe nguvu za kuvuka katika kipindi hiki kigumu Haleluya!!Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa Dada wa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.
Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto.
Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.
DA
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa Dada wa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.

Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
DA
Nawashukuru nyote kwa pamoja, nakushukuru Da Dena!!!
Ndio nafanya taratibu za kuondoka ofisini, na muda si mrefu nitaondoka!!!
Nasema tena asanteni kwa kunitia moyo!!
sisi tulimpenda lakini Mungu amependa zaidi!!! Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la BWANA lihimidiwe!!!
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa Dada wa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.
Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto.
Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.
Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
DA
Hayo ni ya kwenye PM kwa wale wenye kuhitaji kwenda kwenye msiba au kutoa rambirambi wawasiliane na mimi kwa PM