Susy kafiwa na Dada yake leo asubuhi

Susy kafiwa na Dada yake leo asubuhi

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,273
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.

Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto.

Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.

Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.

DA
 
Raha ya milele umpe eebwana......na mwanga wa milele umuangazie......apumzike kwa amani............Amina

pole sana dada susy.....mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu............
 
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa Dada wa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.

Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto.
Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.
DA
Mungu ampe nguvu za kuvuka katika kipindi hiki kigumu Haleluya!!
Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
 
Dear Susy,
Pole sana kwa msiba, yamenikuta kama mwezi mmoja uliopita nilipompoteza baba yangu mpendwa, pole mmno kwa haya yaliyokukuta, Mungu akupe nguvu kuyakabili kwani inauma sn unapomfikilia mpendwa wako ambaye ulimpenda sn leo inakuwa hutamuona tena maishani mwako, pole sn. Mungu ndiye muamuzi wa yote,
Mungu akubariki sn.
 
Pole sana Susy kwa kuondokewa na mmoja kati ya uwapendao. Bwana ametoa Bwana ametwaa.
 
Pole sana dada Susy tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu.

Ahsante kwa taarifa Dena
 
Pole sana Suzy,mshukuru Mungu na uendelee kumuomba akutie nguvu.
 
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa Dada wa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.

Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto.

Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.

Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.

DA

POle sana Susy
 
Pole Susy, Mungu awape wafiwa wote moyo wa uvumulivu katika kipindi hiki kigumu.

Dena asante kwa taarifa.
 
Nawashukuru nyote kwa pamoja, nakushukuru Da Dena!!!

Ndio nafanya taratibu za kuondoka ofisini, na muda si mrefu nitaondoka!!!

Nasema tena asanteni kwa kunitia moyo!!

sisi tulimpenda lakini Mungu amependa zaidi!!! Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina la BWANA lihimidiwe!!!
 
Wasiliana na D.A kama tunaweza kutuma rambi rambi.

Pole sana Susy tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu.
 
Hayo ni ya kwenye PM kwa wale wenye kuhitaji kwenda kwenye msiba au kutoa rambirambi wawasiliane na mimi kwa PM
 
Nimepokea taarifa leo asubuhi kuwa Dada wa member mwenzetu Susy amefiwa na Dada yake aliyekuwa akiishi Gongo la mboto.

Msiba huo umetokana na madhara ya mabomu yaliyotokea gongo la mboto.

Taarifa za msiba ulipo nitawafahamisha hapo baadae.

Bwana alitoa Bawana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.

DA

pole sana mpendwa wangu. Mungu akutie nguvu na faraja katika hiki kipindi kigumu.
 
How hard it is for you now susy,...
Mungu akupe nguvu katika mda huu mgumu kwako pamoja na dungu zako wote
 
Back
Top Bottom