Suti hii imevaliwa siku moja tu na ipo katika hali nzuri kabisa, kama mpya!
Inajumuisha:- Makoti Mawili: Rangi nyeupe na nyeusi.
- Suruali: Kiuno size 31/32.
- Kizibao
- Tai nyeusi
Suti inapatikana Ubungo Makuburi, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi na kujadiliana, : 0688828432. whatsup tu