πππ€£madeni baada ya harusi huwa changamoto sana sheeAaah bwana harusi jamani, hiyo ya kwendea kanisani bwana.
Ndiyo matatizo ya kufanya sherehe wakati huna hela. Sherehe imeisha huna hata mia unaamua kuanza kupiga bei nguo.Kama ikishindikana kupata mteja basi uwe unawakodisha maharusi na watu wengine wenye mitoko
Nipe mimi niuze kwa laki 4 chapu njoo inboxSuti hii imevaliwa siku moja tu na ipo katika hali nzuri kabisa, kama mpya!
Inajumuisha:
Bei: Laki Sita TZS (600,000 TZS). Maongezi yapo!
- Makoti Mawili: Rangi nyeupe na nyeusi.
- Suruali: Kiuno size 31/32.
- Kizibao
- Tai nyeusi
Suti inapatikana Ubungo Makuburi, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi na kujadiliana, : 0688828432. whatsup tu
Mnafurahisha watu, baada ya hapo ni kilioπββοΈπββοΈπππ€£madeni baada ya harusi huwa changamoto sana shee
Not meππΏππΏβπΏπ€£Mnafurahisha watu, baada ya hapo ni kilioπββοΈπββοΈ
Kwakweli, bora tu kwenda kwa padri misa ya kwanza π€£π€£Not meππΏππΏβπΏπ€£
Asijaribu hii atakua anarudi na 200 tuπ π πAaah bwana harusi jamani, hiyo ya kwendea kanisani bwana.
Kumetokea Nini Apostle ?mgeni hataki soda anataka 700 yake
Nakazia Ndugu ZanguHamna suit ya 600000 hapo. Labda ya 120,000 nimnunulie houseboy wangu akaolee na yeye