Suti Kali ya Kiume! Imetumika Siku Moja Tu - Maongezi yapo!

Hakuna mtu ananunua suti ya mtu kwa 600,000/- kama yupo, need to be tested his intelligence
 
Bila picha
 
Mwanaume ukianza kuuza nguo! Mh!!!!!!
 
Kwakweli, bora tu kwenda kwa padri misa ya kwanza 🤣🤣
Mshkaji wangu aliingia kazini mpaka lunch time akaniptia tukavaa makoti na tai, tukampitia mwali akaenda saluni akaweka sura vizuri tukaenda kanisani
Waliobahatika kupokea simu walitukuta kanisani waliochelewa walitukuta coco beach tuna part😂
Picha tulijipiga wenyewe.. Ile shughuli yote hatukumaliza 1M
 

Hata ndoa ikivunjika huumii saaana
 
Tunaomba Msamaha Suala La Pictures Tunalishughulikia
 
Safi sana. Mambo ya kufurahisha watu huku mkibaki na maumivu na madeni makubwa, hayana maana.
 
Hata kama sasa ndio iwe laki sita? mbona zipo suti za 150k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…