SUV to Pick Up

Mbegu Kilewa

Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
37
Reaction score
22
Habari zenu wana JF,

Natamani kufanya conversion ya SUV kuwa pickup..(10ft longbase)
Kati ya suzuki
Escudo (anytype)
Samurai (anytype)

Naomba ushauri wenu vitu vya msingi vya kuzingatiaa,uwezekano wake,changamoto na madhara yake kama yapo pia.

Ahsante.

Natanguliza shukrani kwa mchango na mchanguo wowote
 
Unaibadili ili iweje? Maana hamchelewi kuibebesha saruji..

Kama ni urembo tu, go for samurai! Funga rim kali, tairi pana, mbele antena moja ndefu!

Usiichafue tu na mastika ya hovyo hovyo..
Duuuhh ..
Ivi humu JF hakuna wataalam wa modification..
Wazee wa practical..
Maana naona wengi ni theoritical[emoji23][emoji23]
 
Asaante sana kaka[emoji120]
Nashukuru sana hata ivyo kwa respond yako[emoji3]..
Kumbe hata magari tukiiamua na tunaweza tengeneza wenyewe kabisa
Kuna mahali kule Mbeya, nilikuta watu watatu wanajenga body ya bus la kampuni fulani iliyokuwa inafanya safari zake kati ya mbeya na sumbawanga!!

Bongo watu wanamaarifa mkuu basi tu..
 
Kuna mahali kule Mbeya, nilikuta watu watatu wanajenga body ya bus la kampuni fulani iliyokuwa inafanya safari zake kati ya mbeya na sumbawanga!!

Bongo watu wanamaarifa mkuu basi tu..
Huwa najiulizagu tu shida ipogo wapi..
Mfano..
Injini zipo.
Chasiss zipo..
Gearbox zipo..
Diff zipo ..
Spring,shockup na vikorokoro vya chini vyote vipo
Material ya kutengeneza body yapooo..
TUNAKWAMA WAPI KUTENGEZA GARI JAPO KWA KUUNGAUNGA ( ASSEMBLE )
 
Ku'assemble kwenye gereji zetu inafanyika kwa staili ya kufufua!

Kuna gereji moja huko singida inaitwa SEMA, inaweza kuwa ni miongoni mwa gereji bora sana katika kufufua magari yaliyokufa!!

Wamefufua lori moja lililopata ajali mbaya sana mpaka chassis ikapinda..
Walisambaza kila kitu kisha wakalijenga upya kwenye chassis nyingine!!

Ukiliona hilo lori utahisi ndiyo limefika kutoka UK!!!
 
Yaap good .
Inapendeza kwa uthubutu wao huo
 
tatizolipo kwa serikal mtu akitaka kuanzisha project flani ndio wanaanza kukusanya kodi vizuri ndio maana uwekezaji kwetu ni shida na utaendelea kua shida mpaka tufe kizaz chote maoni yangu mtanzania akianzisha project ifuatiliwe mpaka itakapoanza tengeneza profity ndio waanzishe kodi zao zote
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Etiii mpaka kizazi chote tufeee[emoji23][emoji23][emoji23]

Hamna kaka usiamini sana kwenye kushindwa ...
Kwani babu alisema kwenye RIZIKI hapakosi FITINA....
Na mti wenye MATUNDA ndio hutupiwa MAWE.....

SO kama una project yako fanya kwa uhuru na ufuate taratibu husika kama ni vibali n.k..

N.B
MWANZO HUWA MGUMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…