Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

Haina shida mkuu, ila kama walivyotangulia kushauri wadau hapo juu kama ishu ni wese nunua IST tu maana mafuta haya ambayo lita moja ina kodi zaidi ya 32 ni shida sana. Ila usije kujaribu Nisaan sijui Dualis sijui Extrail utakuja kunishukuru baadaye
 
Nissan imeingiaje hapa?
 
Kama ni mtu wa shamba chukua Suzuki Escudo ya kuanzia mwaka 2001 mpaka 2005, 4 Cylinder,cc1990.
Ukipata 5 speed Manual gearbox utaenjoy zaidi. Kazi kwako
6 cylinder vp chief. Ile yenye 7 seats!

BK473239_a29ece.jpg

BK402771_a2b960.jpeg
 
Back
Top Bottom