Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari imesimamia kucha. Ila bro kwa 2730cc unaweka gesi mwendo mdundoMkuu XL-7 yenye izo cc ni Diesel labda. Maana. petrol ni cc 2500 kwenda juu, V6.
Team_Toyota mumeanzaTatizo ni SUZUKI
Linaunguruma kinoma. Kuna coworker analo aisee. Namba A linadunda.Gari imesimamia kucha. Ila bro kwa 2730cc unaweka gesi mwendo mdundo
Hio gari ni 2.0 TD means gari ya diesel yenye turbo haifai kwa gesiTeam_Toyota mumeanza
Yeah sidhani kama inaungua kwenye engine ya diesel!Gesi kumbe Ina masharti?
Hivi yale malori ya Dangote, nini kimefanyika mpaka wamewenza kuweka mitungi ya gesi? Inawezekana yalikuwa ni ya petrol?Yeah sidhani kama inaungua kwenye engine ya diesel!
Lazma kuna modification imefanyika kwenye mfumo.Hivi yale malori ya Dangote, nini kimefanyika mpaka wamewenza kuweka mitungi ya gesi? Inawezekana yalikuwa ni ya petrol?
Hii Kuna ndugu yangu alirydi nayo toka masomoni UK kwa mbwembwe nyingi. Baada ya mwaka akaiuza kwa madai Spea zake Bei ni kubwa Sana. Sasa anapambana na ISTbya kulenga kwa dalali MagomeniHivi ile generation yake baada ya hiyo iliyowekwa kwenye picha ina mapungufu yoyote ?View attachment 1925706View attachment 1925707
Yeah sidhani kama inaungua kwenye engine ya diesel!