JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Hii Kuna ndugu yangu alirydi nayo toka masomoni UK kwa mbwembwe nyingi. Baada ya mwaka akaiuza kwa madai Spea zake Bei ni kubwa Sana. Sasa anapambana na ISTbya kulenga kwa dalali Magomeni
Nitajie gari tofauti na Toyota ambayo spea zake ni bei rahisi.
Unajua bei ya ignition coil pack mbili za suzuki swift m13a?