Suzuki Grand Vitara: SUV Kiboko ya Mizigo

Suzuki Grand Vitara: SUV Kiboko ya Mizigo

Ndo maana nikakuambia use unapitia website ya beforward (www.beforward.jp) wanakuaga na offer kila wakati. Jichange zikitokea nitakustua
Nimeche few minutes ago gari zao nyingi ni old model from 2004 na 2006 hawana latest model harafu yako bei na milage zake ni 100k up je naweza nikawa shusha kutoka dollar 3000 mpaka 1500 is it possible?
 
Take ur time. Huwez kupata Gari ya mahitaji yako tu (ready made) kwa dakika chache ulizotembelea. Mm huwinda daily nikiipata naizuia na asb huamkia benki kufanya malipo. Kisha nasubiria Gari. Uzuri wa Beforward Wana account (ya USD) CRDB/NBC so ukishalipia unatuma deposit slip fasta Gari inakua reserved
 
50% OFF? Wewe ndo uwashushe? Wanakuomba uchumba? Kwa akili hizi nikushauri tu utulie wakat wako wa kuagiza Gari Japan bado endelea kulenga used za madalali Hapo bongo
Aaah imenivunja mbavu maybe is black Friday u never know sema Niki serious nitawa check bro hata wakitoa 5% haiko mbaya sema kwenye IST wako vibaya sema nitacheck model nyingine za Toyota
 
Mbona watu wanayasifia magari ya honda kubwa ni magumu
Mie mwenyewe nashangaa huo ugumu wa honda ni katika gari zipi? Maana zile honda common zote zilifeli sokoni!

RVR, CR-V, Fit na Accord! Zote kibongo bongo zinachemkaga labda ulaya huko kwenye baridi! Sahizi naona kuna ile honda ya hybrid ndio imeanza kuingia kwa kasi sokoni sijui nayo itatoboa!
 
Hakuna Gari ya Honda (labda Pikipiki) iliyofanya vizuri nchini.
 
Back
Top Bottom