mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Hivi ile generation yake baada ya hiyo iliyowekwa kwenye picha ina mapungufu yoyote ?View attachment 1925706View attachment 1925707
Haina mapungufu yoyote. Gari imara na ngumu hasa ukipata cc2000 au 2400. Fanya service tu kwa wakati. Spare ni ghali kidogo ulinganisha na toyota ika hufungi spare kila siku.