Suzuki Grand Vitara: SUV Kiboko ya Mizigo

Suzuki Grand Vitara: SUV Kiboko ya Mizigo

Da hatari kweli bro je vip kuhusu funcargo na brands za honda!?
Niliwahi kuwa Suzuki Swift (old model) likawa linazingua clutch baadae gearbox Mara makelele ukiendesha siki likazima pale Ubungo mataa kimasikhara. Fundi kuja akalikagua akatafuta Gari ya kuvuta mpaka gereji kwake aisee nikaletewa bill 2.1m kijinga.
 
Maana nimetokea kulipenda muonekano wake wa ndani kwa hizi za latest model kuazia za 2010 kuna ambazo hazitumii key for start nimpenda huo muundo
Kama unajiweza mfukoni Gari yoyote unaendesha bila matatizo. Balaa Ni kwa sisi tunaounga-unga
 
Back
Top Bottom