Suzuki Grand Vitara: SUV Kiboko ya Mizigo

Mayo we, mie nilikuwa nafikiria kuweka gesi kwenye ngalangala langu(xtrail), kumbe gari ya turbo haifai!! [emoji848][emoji86]
Hapana gas hata kwenye gari ya diesel inawekwa !!! Next time ukiona truck ya Dangote ina mitungi ya Cng , itakuwa ni gas powered, na engine ni turbocharged diesel ya Howo
Sema plumbing ya gas kwenye diesel engine ni very complex na expensive, plus , gas haiwezi kufanya combustion peke yake ,(stand alone ,) kama inavyofanya kwenye petrol engines
 
Exactly Lazima mfumo wa diesel uwepo kwanza. Diesel powered engine haziignite kwa spark bali fuel heat compression
 
Hapana gas hata kwenye gari ya diesel inawekwa !!! Next time ukiona truck ya Dangote ina mitungi ya Cng , itakuwa ni gas powered, na engine ni turbocharged diesel ya Howo
Sema plumbing ya gas kwenye diesel engine ni very complex na expensive, plus , gas haiwezi kufanya combustion peke yake ,(stand alone ,) kama inavyofanya kwenye petrol engines
Yes, kwenye gari za dangote nimeona, nilikuwa nahitaji maelezo ya ziada toka kwake, labda kuna jambo analijua zaidi ya haya niyaonayo mimi..
 
Yeah sidhani kama inaungua kwenye engine ya diesel!
Maroli ya Dangote Cement yanatumia gas,kati ya tela na cabin hua kuna mitungi ya gas na yanatumia disel
a50bb7cf752ebc1ba8d60fdd80a4de79.jpg
 
Back
Top Bottom