Suzuki Jimny 1.3L 2013 Vs Toyota IST 2007

Suzuki Jimny 1.3L 2013 Vs Toyota IST 2007

Suziki jimny stability yake kwenye barabara mbaya sio nzuri

Ni nyepesi sana na rahisi kupinduka km barabara mbaya,inauwezo ya kupita kwenye barabara zenye utelezi ila si salama kukimbiza sana ukiwa rough road.
 
Mbona gari nyingi za serikali ni manual
Serikali sio gari personal , gari moja linaweza kuendeshwa na madereva hata 10 ,
Ila.pia inategemea na mazingira unayoishi kwa mafoleni ya dar manual hapana asee
 
I love manual cars, siyo ya kwanza. Nilishawahi kuwa na Renault KWID. Nilipata mteja wa pesa nzuri nikauza.

Nayo ilikuwa imported Tanzania 0KM
Hata mie nilipenda sana manual , enzi hIzo land rover 109 na 504, auto hazikuwepo. Laini kadiri umri unavyosonga auto zinazidi kuwa refined na kuwa nzuri zaid .sioni tena sababu ya kuhangaika na clutch pedal
 
Manual inachosha sana mfano utoke dar mpaka mwanza asubuhi huamki
 
Mataputapu vipi?

Advantage ya IST ni nafasi ndani na kuwa na milango mi4.

Jimny space ya abiria na swala la kupishana kupanda na kushuka.
unalinganisha small SUV na gari ambayo si SUV.
jimmy zinatengenezwa ai kwa starehe, bali ni kupita barabara ngumu na terrain za kiume.

IST in otherhand haijatengezwa kupita terrain ngumu. ni gari ya kutembelea town.

haya magari yako ktk class tofauti
 
Mkuu angalia ww unatak nn? Kama unafamilia IST ni bora ila kama huna chukua icho kizuzuk kama mtu uliestaafu vile.kwa ufupi IST is more classic than io gari ya shamba [emoji34].uwa wananunua wastaafu kwa ajili ya kubebea majani ya ng’0mbe
Jimny inabebea wapi majani ya ng'ombe? Au huijui?
 
I love manual cars, siyo ya kwanza. Nilishawahi kuwa na Renault KWID. Nilipata mteja wa pesa nzuri nikauza.

Nayo ilikuwa imported Tanzania 0KM
Inaonekana una connection na magari ya mashirika ya umma ama ngo’s. Ukipata LC Gx 105 nishtue.
 
Hiyo chuma ina roho ya paka sijawahi kuona maana hata mjukuu anaweza kuikuta ipi tu unatamba nayo
Usifanye masihara na ile machine. Wakurugenzi wanajiuza tu kwa bei ya kutupwa huko kwenye mashirika ya Umma na NGOs
 
Na kwangu mimi ile chuma hata V8 nakuachia maana ile ngoma porini ndio yenyewe
Nazipa salute sana hizi gari. Upate mbichi kama hii hapa.

7D7D834F-85F5-456E-8323-1328FF83979F.jpeg
 
Back
Top Bottom