Acha mchezo kabisa halafu unaipiga carier juu utaisoma tena ukiweza ipe na mkonga uone shughuli yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa unakimbiza pasipo tahadhari? Kwa watu tunaoishi ndani ndani huko miundombinu bado siyo mizuri hii ndiyo gari rafikiSuziki jimny stability yake kwenye barabara mbaya sio nzuri
Ni nyepesi sana na rahisi kupinduka km barabara mbaya,inauwezo ya kupita kwenye barabara zenye utelezi ila si salama kukimbiza sana ukiwa rough road.
Ebhana nikonnect na hao wanaouzaga Suzuki Jimny kila baada ya miaka........Hili ndiyo limekuwa linaniwazisha.
Naamua kuchukua Jimny, ntaongeza Sedan badae.