Suzuki Jimny 1.3L 2013 Vs Toyota IST 2007

Suziki jimny stability yake kwenye barabara mbaya sio nzuri

Ni nyepesi sana na rahisi kupinduka km barabara mbaya,inauwezo ya kupita kwenye barabara zenye utelezi ila si salama kukimbiza sana ukiwa rough road.
Sasa unakimbiza pasipo tahadhari? Kwa watu tunaoishi ndani ndani huko miundombinu bado siyo mizuri hii ndiyo gari rafiki
 
Hili ndiyo limekuwa linaniwazisha.

Naamua kuchukua Jimny, ntaongeza Sedan badae.
Ebhana nikonnect na hao wanaouzaga Suzuki Jimny kila baada ya miaka........

Na mi nnaitafuta hii gari aseee, hasa hii modeli ilokaa ki rangerange aaaaani😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…