MATEO GODFREY
Member
- Apr 7, 2014
- 55
- 89
Nimemwaga oil juzi sasa naona kuja mabadiriko kidogo maana gari imekuwanyepesi Leo imewaka bila mtikisiko na kelele nimegundua zinatoka kwenye radiator fan inawaka direct na alternator belt ilikuwa imeisha so nimebafirisha now gari imechangamka kiasiHadi sasa wewe umefanya nini?
Services ya mwisho ulifanya lini na nini?
Bahati mbaya nipo Dsm bossSwift matatizo yake yanafanana tuu nimetoka kupambana na kama hiyo wik iliyopita,kama upo Dodoma tuwasiliane