Car4Sale Suzuki Swift mpya nauza kwa bei poa. Milioni saba na nusu tu.

Tubadilishane kwa kiwanja 23*25 kipo kibamba
 
Hiyo bei naona kama ni being rahisi sana, labda FOB zake ni zila za $300.
 
Hii gari ishasajiliwa kwa Number zetu za kawaida??
Ina Namba gani??
Imesajiliwa lini??
Weka details za kutosha kama
-Mileage,
-Engine Size,
-Transmission,
-Piga hata picha za Dashboard watu waone inafananaje, Radio yake etc

Yaani fanya kama unakua serious hivi kuliko kuweka tu Picha zilizokaa upande na Bei basi
 
Hii gari ishasajiliwa kwa Number zetu za kawaida??
Ina Namba gani??
Imesajiliwa lini??
Weka details za kutosha kama
-Mileage,
-Engine Size,
-Transmission,
-Piga hata picha za Dashboard watu waone inafananaje, Radio yake etc
Number bado ndio ipo kwenye mchakato jumatatu ijayo itakuwa tayari.
Mwaka 2002
Mileage 100000
Engine 1300

Ukitaka maelezo zaidi na picha zaidi piga namba hii 0718476238
 
Toyota succeed iliyonyooka kama kuna mdau anayo pesa mfuko wa shat!!!!!!!!
 
Picha zaid
 
Kuna Kitu Kimoja Umenishangaza aisee, bei unayouzia mbona iko chini??,
Sababu hizi gari tuseme Rough Estimate CIF with Inspection ni Kama
$1,200.00 x Tshs 2,250/$ = Tshs 2,700,000 CIF.
TRA Kodi na Usajili ni 4,376,741.62
Ukiweka Agency Fees, DO Charges, Wharfage, etc labda 800,000
Jumla = Tshs 7,876,741.62,

Hapo wewe unapata faida kiasi gani Mkuu wangu??
Niki adjust mwaka na Other Carges naweza ku sevu kama laki 2 hivi mpaka laki 5 kwenye kodi na other charges , still bado hainipi aisee.



 
Shark hiyo gari mimi najua kabisa kama napata hasara. Nimeona nikisema niweke bei yake halali kupata mteja kwa haraka ni ngunu. Ndio maana nimeweka bei ambayo nitapata mteja kwa haraka kwasababu hiyo pesa ninashida nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…