Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
wacha tu nicheke siku zisogee..[emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha[emoji23] mkuu,ni bora ninunue Defender kuliko hii suzuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha tu nicheke siku zisogee..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmhh huu ufundi una mashaka[emoji23]Ukiona gari inakula sana mafuta, pengine diff ni mbovu.. Inazungusha tairi moja so engine inatumia nguvu kubwa kuendesha gari!
Hapo utauza bodi tu,ushauri katafute engine complete hiyo weka kwa ajili ya spea.Utasahau tabu zako zote hill ni jiweMkuu hiyo gari ni yakupiga bei Tu yaani Kwa kifupi kila kitu ni kibovu Kwenye hiyo gari alafu kumbuka gari yenyewe ni Suzuki
I tell u... Torque inayokwenda kwenye diff inabidi iwe distributed evenly.. 50% by 50%.... Axle ikifa ndani ya diff unakuta distribution ni 50% by say 20. So the loss of the other 30% Torque means a vehicle consume more fuel to compensante!Mmhh huu ufundi una mashaka[emoji23]
I tell u... Torque inayokwenda kwenye diff inabidi iwe distributed evenly.. 50% by 50%.... Axle ikifa ndani ya diff unakuta distribution ni 50% by say 20. So the loss of the other 30% Torque means a vehicle consume more fuel to compensante!
Hizo gari uchagani ni nyingi sana...[emoji28][emoji28]hahaha[emoji23] mkuu,ni bora ninunue Defender kuliko hii suzuki
Jamaa yangu ni mchaga, nadhani unajua wachaga wanavyozihusudu hizo gari, anaweza kukataa haria akachukua escudo, na kwa asilimia kubwa wanaozimiliki hizo gar hapa Tz ni wachaga au watu wenye chembe chembe za uchaga, wanakuambia ina 4wd kali sana haikwami popote, hicho tu ndo wanachipendea hii gar bassss.[emoji23]mkuu, hii gari hapana kabisa aise wazee wengi inawaletea umasikini,jamaa yako alibugi sana aise yani vijana wengi huwa hawanunui hii gari kabisa,huwa ninawaona wazee wanavohangaika mtaani mara ibadili muungurumo ianze kulia kama mashine ya kusaga nafaka ,ikipita kwenye kabonde kadogo tu inatoa kishindo kikubwa mno.
Usiogope mkuu, ilimradi tu injini iwe nzima maana hyo ndo pasua kichwa ikianza mikikisiku moja nikiokota pochi ya mzungu, na mimi nataka kununua escudo kale ka short chasis ka kupandia milimani..[emoji28][emoji28]
Sasa mnanitisha sana hapa..[emoji28][emoji28]
unamaanisha Jimny? nunua tu..siku moja nikiokota pochi ya mzungu, na mimi nataka kununua escudo kale ka short chasis ka kupandia milimani..[emoji28][emoji28]
Sasa mnanitisha sana hapa..[emoji28][emoji28]
No...siyo Jimmy...Suzuki kama hii inayomtesa mdau...ila iwe milango 3...kawe kanakaa huko uani kama backup car siku kuna safari za milimani..[emoji28][emoji28]unamaanisha Jimny? nunua tu..
Suzuki ni gari nzuri ukiitunza. Kuna Samurai kitaa hadi odometer imezunguka imeanza tena kuhesabu kuanzia 00000 km na ina engine yake iliyotoka nayo Japan pamoja na clutch.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leta laki saba nikuuzie hii benz yangu mkuu.Inafaa sana kwenye safari za hapa na pale za kwenda kupata kitimoto na bia mojaView attachment 1563619
[emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka sanaJitahidi ununue "GARI".