Suzuki yangu pasua kichwa

Suzuki yangu pasua kichwa

Hakuna gari mbovu wala gari isioharibika, gari yoyote itakusumbua kama hautaijali, kudumu kwa gari na kutokukusumbua ni wewe mwenyewe unaeimiliki, wewe ukiwa ni mtu wa kuwasha tu gari na kuweka gia kila gari itakusumbua. Wengi wanajua kumiliki gari ni kujaza tu mafuta na kumwaga oil. Gari I nataka matunzo kama binadamu.
 
[emoji23]mkuu, hii gari hapana kabisa aise wazee wengi inawaletea umasikini,jamaa yako alibugi sana aise yani vijana wengi huwa hawanunui hii gari kabisa,huwa ninawaona wazee wanavohangaika mtaani mara ibadili muungurumo ianze kulia kama mashine ya kusaga nafaka ,ikipita kwenye kabonde kadogo tu inatoa kishindo kikubwa mno.
Jamaa yangu ni mchaga, nadhani unajua wachaga wanavyozihusudu hizo gari, anaweza kukataa haria akachukua escudo, na kwa asilimia kubwa wanaozimiliki hizo gar hapa Tz ni wachaga au watu wenye chembe chembe za uchaga, wanakuambia ina 4wd kali sana haikwami popote, hicho tu ndo wanachipendea hii gar bassss.

Binafsi siwez inunua kabisa.
 
siku moja nikiokota pochi ya mzungu, na mimi nataka kununua escudo kale ka short chasis ka kupandia milimani..[emoji28][emoji28]

Sasa mnanitisha sana hapa..[emoji28][emoji28]
 
siku moja nikiokota pochi ya mzungu, na mimi nataka kununua escudo kale ka short chasis ka kupandia milimani..[emoji28][emoji28]

Sasa mnanitisha sana hapa..[emoji28][emoji28]
Usiogope mkuu, ilimradi tu injini iwe nzima maana hyo ndo pasua kichwa ikianza mikiki
 
siku moja nikiokota pochi ya mzungu, na mimi nataka kununua escudo kale ka short chasis ka kupandia milimani..[emoji28][emoji28]

Sasa mnanitisha sana hapa..[emoji28][emoji28]
unamaanisha Jimny? nunua tu..

Suzuki ni gari nzuri ukiitunza. Kuna Samurai kitaa hadi odometer imezunguka imeanza tena kuhesabu kuanzia 00000 km na ina engine yake iliyotoka nayo Japan, gearbox pamoja na clutch.

imebadilishwa tu vitu vinavyotegemewa kufa (alternator, starter, water pump, vitu kama hivyo). ila gari yenyewe nzima inapiga mzigo kama mpya.
 
unamaanisha Jimny? nunua tu..
Suzuki ni gari nzuri ukiitunza. Kuna Samurai kitaa hadi odometer imezunguka imeanza tena kuhesabu kuanzia 00000 km na ina engine yake iliyotoka nayo Japan pamoja na clutch.
No...siyo Jimmy...Suzuki kama hii inayomtesa mdau...ila iwe milango 3...kawe kanakaa huko uani kama backup car siku kuna safari za milimani..[emoji28][emoji28]
 
Wadau mnanitisha sana.Nashukuru kwa michango yenu.Kwa sisi vijijini tufanyeje sasa.
 
Mmhhhh.... Hizi hizi kitu bado zipo Duniani? We jamaa unatunza sana. Kitu ya zamani sana hii.sana. unaweza kuta imekuzidi hata umri wewe mwenye nayo.sasa hapo kwa nini isiwe na matatizo? Kama unashamba unaipeleka huko unafugia kuku.
 
Leta laki saba nikuuzie hii benz yangu mkuu.Inafaa sana kwenye safari za hapa na pale za kwenda kupata kitimoto na bia moja
345680.jpg
 
Shusha engine tu mkuu,. M ninayo Ina mwaka mmoja. Ni gari moja making Sana nilinunua kwa mchaga nikabadili body. Ila service uzingatie, spare part zake Ni ghali kdgo ila zinadumu
 
Mnapenda kulalamika sana , hivi haya magari ambayo yako kwenye makumbusho bado mnayatumia? mnatafutaga presha za bureeee , unaacha kununua ki vitz cc670 au ki IST 1200cc unahangaika na hayo makweche , tatizo mliaminishwa eti nunua gari ngumu, ngumu kwani unaendea vitani? uza screpa hiyo takataka tafuta hizo nilizokushauri na maisha haya ya miamala na kodi za luku utajuta.
 
Back
Top Bottom