myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Ila hii si kazi mmmmmm..kazi ni kazi...
Hahhahaahha[emoji12]Thanks kwa picha! Kalemboo-karemboo! Ukikatokea then kakaja kukuambia kanafanya kazi Mortuary unatoka nduki[emoji3]
Shukran ndugu.Tumbi
True trueAende shule huyo, umri bado sana kukaa na miili ya wafu.
Basi sawa mwanaume war darMara nyingi hawa mortuary attendants na undertakers wanakuwaga machizi fulani hivi kichwani, dah, kucheza na maiti zingine zilipata ajali zinakuja jicho moja hamna sura imevunjika, hapana! NGOJA NIENDELEE TU KUWA MWANAUME WA DAR.