Swabrina Ghalibu, Msichana wa kwanza Mdogo kufanya kazi Mortuary

Swabrina Ghalibu, Msichana wa kwanza Mdogo kufanya kazi Mortuary

Penda usipende lazima tupitie mikononi mwake. Hiyo ndiyo ofisi kuu,kila mmoja atapitia hapo. Kuna wale wanaopenda ndugu watibiwe nje, hapo hakuna referral ya kwenda India.
 
Dah! Nilishawai kuingia muhimbili pale kuchukua mwili wa ndugu yangu sikulala usiku week nzima na weweseka tu dah! anastail pongezi
 
Jamaa umemshuhudia au picha za whatsapp maana usikute kamtosa mtu uko jamaa katunga uongo wake ili mdada wa watu aogopwe akose bwana arudi kwake maana wanaume wa TZ siku hizi no ny*ko
Ishawahi tokea wameachana msichana akaona kumkomoa bwana kachukua number ya bwana ake na maelezo kuwa mganga kutoka sehemu fulan anapatikana hapa kaweka namba ya bf wake akabandika manzese weeeeeee jamaa simu zilikuwa zinamiminika kama mvua mbona alitupa line badae muda kupita msichana akamfata akaeleza nimekukomesha kwahiyo hii habar muitazame kwa jicho la 3
 
Mwenyezi Mungu akukinge na mitihani yote ya kazi yako,ngumu sana binti bila uwepo wa Mungu kwako.
 
hiyo kazi usidhani wanakurupuka lazima awe na professional flani kwani kazi ya dr. kwa maiti ni kuifanyia MP (postmortam) tu na vinavyobaki kama kushona makovu,sindano,kupasua n.k anafanya huyo mtu wa mortuary sasa ataanzaje kama hajui lolote??
 
Tatizo ni umri wake wa kufanya hy kazi au!endaikawa analipwa vizuri kuliko baadhi ya wachangiaji hp so mwacheni afanye kazi yake kwa umakini
 
Mara nyingi hawa mortuary attendants na undertakers wanakuwaga machizi fulani hivi kichwani, dah, kucheza na maiti zingine zilipata ajali zinakuja jicho moja hamna sura imevunjika, hapana! NGOJA NIENDELEE TU KUWA MWANAUME WA DAR.
Basi sawa mwanaume war dar
 
Back
Top Bottom