NIMEFIKA salamaFresh ulikuwa umesafiri za huko
DJ sepetu
Nina umri wa miaka27, Nina Elimu ya darasa la7 ni mfanyabiasharaType history yako fupi tu
DJ sepetu
tatizo liko wapi?? Ukiulizwa upuuzi si unaacha kujibu??Upuuzi wako wa intaviuu umevuka mipaka sasa.
Na nyie wanawake mnazinguaaa hamjui mnajishushia heshimaaa, kila siku kuhojiwa mambo ya ovyo ovyoo tu.
Nimekulia kanda ya ziwa, sikulelewa na wazazi wote ndo sababuUmekulia kanda ipi je una kumbukumbu gani ya malezi
Kwann hukuendelea Na masomo
DJ sepetu
Mbona povu kiongozi?Upuuzi wako wa intaviuu umevuka mipaka sasa.
Na nyie wanawake mnazinguaaa hamjui mnajishushia heshimaaa, kila siku kuhojiwa mambo ya ovyo ovyoo tu.