Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Huyu mwanamke ni mtu wa deep state
Anawachora tu

Hapo hajaonyesha uwezo wake wote

I bet she is among the intelgent girl

Izo kuuza mpunga anazuga tu yupo air wings uko

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Hapana Mpendwa Mimi Napambana tu na Hali yangu mtaani, huku nakomaa na Biashara yangu ya kuuza Mchele pekee Huko unakonipeleka sipo kabisa me kwanza mshamba tu maeneo mengi tu sijafika hata Dar ni mwenyeji lakini siyo kihivyoo East Africa miji mingi tu sijafika Japo ndoto ni kupanua Biashara yangu na kuvuka border, me MTU wa kawaida sana mvuja jasho tu kama wengine, hata sijafikia level ya kuwa mfanyabiashara, me ni mjasiliamali tu.
 
Pitia maswali yote my

DJ sepetu
 
Nimekufatilia mwandiko wako unafana na watu wa deep state

Poa tuishie apa japo Nina mengi ya kukuambia

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mkuu.....
Minimeangalia avatar yake, na nilicho kiona pale kifuani upande wake wa kushoto mmhhhhh........ kitu kimeanguka kama kandambili kifuani, yaani kama ni jua ndio linazama mida ya kumi na mbili jioni......[emoji2] [emoji2]
Samahani kama nitamkwaza yeyote, lakini hicho ndicho macho yangu yameona
uchochezi.
 
372ac50eb4979afb71c93528038df789.jpg
ooyoooooo
 
Naomba niwe mkweli....
Leo muosha rungu, naona kabisa alivyo ishiwa pumzi. Yaani mtahini anagalagazwa utadhani yeye ndie mtahiniwa.....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huo ni mtazamo wangu tu, naomba nisipondwe mawe...[emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
haha yaani amechoka ana hema kwa shida sana
 
Back
Top Bottom