Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana Mpendwa Mimi Napambana tu na Hali yangu mtaani, huku nakomaa na Biashara yangu ya kuuza Mchele pekee Huko unakonipeleka sipo kabisa me kwanza mshamba tu maeneo mengi tu sijafika hata Dar ni mwenyeji lakini siyo kihivyoo East Africa miji mingi tu sijafika Japo ndoto ni kupanua Biashara yangu na kuvuka border, me MTU wa kawaida sana mvuja jasho tu kama wengine, hata sijafikia level ya kuwa mfanyabiashara, me ni mjasiliamali tu.Huyu mwanamke ni mtu wa deep state
Anawachora tu
Hapo hajaonyesha uwezo wake wote
I bet she is among the intelgent girl
Izo kuuza mpunga anazuga tu yupo air wings uko
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Pitia maswali yote myHapana Mpendwa Mimi Napambana tu na Hali yangu mtaani, huku nakomaa na Biashara yangu ya kuuza Mchele pekee Huko unakonipeleka sipo kabisa me kwanza mshamba tu maeneo mengi tu sijafika hata Dar ni mwenyeji lakini siyo kihivyoo East Africa miji mingi tu sijafika Japo ndoto ni kupanua Biashara yangu na kuvuka border, me MTU wa kawaida sana mvuja jasho tu kama wengine, hata sijafikia level ya kuwa mfanyabiashara, me ni mjasiliamali tu.
Nimekufatilia mwandiko wako unafana na watu wa deep stateHapana Mpendwa Mimi Napambana tu na Hali yangu mtaani, huku nakomaa na Biashara yangu ya kuuza Mchele pekee Huko unakonipeleka sipo kabisa me kwanza mshamba tu maeneo mengi tu sijafika hata Dar ni mwenyeji lakini siyo kihivyoo East Africa miji mingi tu sijafika Japo ndoto ni kupanua Biashara yangu na kuvuka border, me MTU wa kawaida sana mvuja jasho tu kama wengine, hata sijafikia level ya kuwa mfanyabiashara, me ni mjasiliamali tu.
uchochezi.Mkuu.....
Minimeangalia avatar yake, na nilicho kiona pale kifuani upande wake wa kushoto mmhhhhh........ kitu kimeanguka kama kandambili kifuani, yaani kama ni jua ndio linazama mida ya kumi na mbili jioni......[emoji2] [emoji2]
Samahani kama nitamkwaza yeyote, lakini hicho ndicho macho yangu yameona
uchochezi.mkuu unamaana ya kanda mbili yanga afrika NdAlA? malapa?
ooyoooooo
haha yaani amechoka ana hema kwa shida sanaNaomba niwe mkweli....
Leo muosha rungu, naona kabisa alivyo ishiwa pumzi. Yaani mtahini anagalagazwa utadhani yeye ndie mtahiniwa.....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huo ni mtazamo wangu tu, naomba nisipondwe mawe...[emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
kwa kweliLabda gemu la mtoto swahiba92 si la nchi hii
DJ sepetu
me bado naendelea kukusanya nondo za kuwashushia ,,,nkiwa tayari ntakustua usiwe na hofuInterview yako lin
DJ sepetu
kweli mkuu acha niendelee na uzoefu vizuriAcha uongo
DJ sepetu