Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Maisha ya utafutaji unakumbana Na changamoto zipi

DJ sepetu
1 ya changamoto ktk hii biashara ni kudhurumuwa coz Mara nyingi ni biashara ya kuaminiana ni Mara chache kuweka maandishi, coz utamtumia MTU mzigo atatuma au unachukua advance baada ya week labda1 unatumiwa pesa kwenye account hivyo inatokea pia kudhurumiwa japo ni Mara chache
 
kazi yako na avatar yako ni vitu viwili tofouti waweza lizungumzia hili kidogo??
Mkuu.....
Minimeangalia avatar yake, na nilicho kiona pale kifuani upande wake wa kushoto mmhhhhh........ kitu kimeanguka kama kandambili kifuani, yaani kama ni jua ndio linazama mida ya kumi na mbili jioni......[emoji2] [emoji2]
Samahani kama nitamkwaza yeyote, lakini hicho ndicho macho yangu yameona
 
Back
Top Bottom