swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Baba mzazi ila baadae mateso ya mama wa kambo yalipozidi nikasepa homeWote Wa kambo
DJ sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba mzazi ila baadae mateso ya mama wa kambo yalipozidi nikasepa homeWote Wa kambo
DJ sepetu
Nani alikuambia unijibu wakati sikukuuliza wewe?Tuliza jazba ndg, mbona hata hatujuani humu asee
Hapana sijaolewa na sidhani maana naona kama ni utumwaUkiwa kama dada Wa makamo umeolewa?
DJ sepetu
Nanunua mpunga na kukoboa na kuuza Mcheleso waweza kutuambia unafanya biashara ya aina gani mkuu??
OkNani alikuambia unijibu wakati sikukuuliza wewe?
Jijini MwanzaDah! Ukaelekea wapi
DJ sepetu
hongera sana mkuu..... Mungu akusimamie vyema katika shughuli yako aiseNanunua mpunga na kukoboa na kuuza Mchele
Amenhongera sana mkuu..... Mungu akusimamie vyema katika shughuli yako aise
Changamoto kwenye maisha zipo 2 nilichojifunza ni kutokulalamika angalia ulipo jiulize utafanya nini kutoka hapo, wengi wetu tunatumia muda mwingi ktk kulalamikaMaisha ya utafutaji unakumbana Na changamoto zipi
DJ sepetu
Siwezi kumuita Mchumba maana Mama yangu mzazi hamfahamu naweza sema ni Rafiki tuIla una mchumba?
DJ sepetu
1 ya changamoto ktk hii biashara ni kudhurumuwa coz Mara nyingi ni biashara ya kuaminiana ni Mara chache kuweka maandishi, coz utamtumia MTU mzigo atatuma au unachukua advance baada ya week labda1 unatumiwa pesa kwenye account hivyo inatokea pia kudhurumiwa japo ni Mara chacheMaisha ya utafutaji unakumbana Na changamoto zipi
DJ sepetu
unapenda maswalieeeh??mbona kimya??
Mkuu.....kazi yako na avatar yako ni vitu viwili tofouti waweza lizungumzia hili kidogo??
Mara chache ninapokwama huwa zaidi ananisaidia mawazo, coz pesa namzidi hivyo namheshimu na ninapokwama sehem naomba ushauri na mawazo yake ila cyo pesaAnakusaidia vipi ktk shughuli zako
DJ sepetu
Chura ipo?Nina umri wa miaka27, Nina Elimu ya darasa la7 ni mfanyabiashara
Mimi nataka Miss Natafuta anifanyie interview![emoji5][emoji5][emoji5]