Mzee ulimixMkuu.....
Minimeangalia avatar yake, na nilicho kiona pale kifuani upande wake wa kushoto mmhhhhh........ kitu kimeanguka kama kandambili kifuani, yaani kama ni jua ndio linazama mida ya kumi na mbili jioni......[emoji2] [emoji2]
Samahani kama nitamkwaza yeyote, lakini hicho ndicho macho yangu yameona
Unaharibu sasa mzeeKazi juu ya kazi, lemutuz[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Shughuli siyo ya kitoto hiiMambo hayo
DJ sepetu
Dondosha namba bibie tumalize mchezo...
Balimi hizo comrade...[emoji13] [emoji13]Mzee ulimix
DJ sepetu
Kiongozi utakuwa lofa kweli kweli kama hata contacts hujazipataHatareee
DJ sepetu
Asante comrade, onasasa nimesha haribu kwa mtoto aiseee......[emoji25] [emoji25]Pole
DJ sepetu
Roho inaniuma sana comrade, yaani balimi sio kitu kizuri kabisa...[emoji20] [emoji20]Usingejichanganya Leo ungekuwa unaongea Na mtoto swahiba....
DJ sepetu
Halafu jaribu kuwa unanipigia mapande bac na Mimi mkuu!!!Ulipagawa tu Na ma photos[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Si unajua tena ujana maji ya motoHahahaa poa[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu