Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nambie kwanza nini maana ya neno KUOKOKA??? Then ndo ntakujibu kama ndiyo au hapana, wewe unalielewaje hilo neno kuokoka???Umeokoka
DJ sepetu
Mimi wala sikatai naomba anipe!Nitakataa tu!
DJ sepetu
Sipendi watu wanaopenda kulalamika lalamika, na sipendi watu wanaotumia muda wao kujadili maisha ya watu wengine badala ya kutumia muda huo kuhangaikia maisha yaoSomo tosha
Kesho itabidi tuendelee tena
Watu wenye tabia gani hukuchefua
DJ sepetu
Basi kama hiyo uliyotoa wewe ndo tafsiri ya neno KUOKOKA, Basi Mimi SIJAOKOKAKuepukana Na ubaya flani hivi au adhabu au janga
DJ sepetu
Ndomana una hela,your head is good stuff.Wala hujanikwaza ila ni kwa jinsi gani unaonesha una IQ ndogo japo unataka kuitumia kuwaza mambo makubwa
Swali la kizushiSipendi watu wanaopenda kulalamika lalamika, na sipendi watu wanatumia muda wao kujadili maisha ya watu wengine badala ya kutumia muda huo kuhangaikia maisha yao
Prejudice is very bad...muonekano na matendo havina uhusiano!Mimi avatar yake pia imenitatiza pia.... because nimejaribu kutembelea profile yake ameweka occupation ni "Mwinjilisti" nikajisemea moyoni kama hawa ndio wachungaji wa kondoo wa Bwana mbona wote tunaenda kuzimu sasa.... mkuu
Huyu kama siyo Phd sijui,..Nina shaka Na elimu wewe sio darasa la 7 leaver
DJ sepetu
Kwa kawaida inatakiwa kufanya sex siyo chini ya mara3 kwa week ukiwa mzima, Lakini kulingana na wakati mwingine Ubusy wa maisha unajikuta upo mbali na mwenza wako Pale unapopata tym Unaupatia mwili wako haki yake, na kitu kingine ni kwamba Akili iliyo busy sana kutafuta pesa Huwa Haiwazi ngono muda mwingi, coz Akili ikichoka Hamu ya ngono pia hupotea Mfano nimetoka mwanza Jpili iliyopita, nikaenda Kahama SHY nikakaa cku3 Nikasafiri kwenda NGARA kupeleka Mchele NIMEFIKA Mwanza jioni ya Leo na kesho napaswa kwenda Arusha unafikiria muda wa kufanya ngono kweli?? Mazoezi pia yanasaidia sana kupunguza muda mwingu kuwaza ngono, hayo mambo ya kuwaza ngono kila wakati yapo kwa watu wanokaa kaa tu bila kuchosha AkiliSwali la kizushi
Unapenda kufanya love Mara ngapi kwa wiki!?
Mara ya mwisho lini
DJ sepetu
SawaKwa kawaida inatakiwa kufanya sex siyo chini ya mara3 kwa week ukiwa mzima Lakini kulingana na wakati mwingine Ubusy wa maisha unajikuta upo mbali na mwenza wako Pale unapopata tym Unaupatia mwili wako hali yake, na kitu kingine ni kwamba Akili iliyo busy sana kutafuta pesa Huwa Haiwazi ngono muda mwingi, coz Akili ikichoka Hamu ya ngono pia hupotea Mfano nimetoka nimtoka mwanza Jpili iliyopita, nikaenda Kahama SHY nikakaa cku3 Nikasafiri kwenda NGARA kupeleka Mchele NIMEFIKA Mwanza jioni ya Leo unafikiria muda wa kufanya ngono kweli?? Mazoezi pia yanasaidia sana kupunguza muda mwingu kuwaza ngoni, hayo mambo ya kuwaza ngono kila wakati yapo kwa watu wanokaa kaa tu bila kuchosha Akili
Nilipofaulu kwenda form 1 na Mama wa kambo Akamzuia Baba yangu kunitolea ada na kweli MZEE akagoma kunisomesha Hapo ndo nilipopata huzuni isiyoelezeka kwa kweli, Lakini Kilichonipatia furaha ktk maisha yangu ni Siku Nilipompata Mama angu mzazi Aliyeondoka nyumbani nikiwa na umri wa Miaka2 pekee nikaja kuonana nae nikiwa na umri wa miaka20 Nilifurahi sana Kwa kweli na furaha yangu iliongezeka siku nilipomnunulia plot na kumjengea NYUMBA ya kuishi Japo siyo kubwa sanaSawa
Ni lini au wakati gani ulikuwa Na furaha sana!?
Ililetwa Na nini
Lini uliwahi kuwa Na huzuni sana sababu gani
DJ sepetu
Dah! Machozi yamenitoka!Nilipofaulu kwenda form 1 na Mama wa kambo Akamzuia Baba yangu kunitolea ada na kweli MZEE akagoma kunisomesha Hapo ndo nilipopata huzuni isiyoelezeka kwa kweli, Lakini Kilichonipatia furaha ktk maisha yangu ni Siku Nilipompata Mama angu mzazi Aliyeondoka nyumbani nikiwa na umri wa Miaka2 pekee nikaja kuonana nae nikiwa na umri wa miaka20 Nilifurahi sana Kwa kweli na furaha yangu iliongezeka siku nilipomnunulia plot na kumjengea NYUMBA ya kuishi Japo siyo kubwa sana
Una haki kikatiba ya kutoa maoni na mtazamo wako hivyo nimeupokea kwa mikono yote miwili UbarikiwePrejudice is very bad...muonekano na matendo havina uhusiano!
Nikusaidie tu Mpendwa kati ya vitu ambavyo watu hukosea ni kuhusianisha mwonekano wa MTU na matendo, aiseee kuna watu wana mwonekano wa upole na huruma lakini ukweli ni Wakatili kupindukiaPrejudice is very bad...muonekano na matendo havina uhusiano!