Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Somo tosha
Kesho itabidi tuendelee tena
Watu wenye tabia gani hukuchefua

DJ sepetu
Sipendi watu wanaopenda kulalamika lalamika, na sipendi watu wanaotumia muda wao kujadili maisha ya watu wengine badala ya kutumia muda huo kuhangaikia maisha yao
 
Mimi wala sikatai naomba anipe!
Mimi ninaye huyu tena Wa jf
8e4130c3f33641744f9641c1b4b11955.jpg

Mwingine huyu Wa jf pia
c981d137fd8319abed1d1600efffbf6a.jpg

DJ sepetu
 
Sipendi watu wanaopenda kulalamika lalamika, na sipendi watu wanatumia muda wao kujadili maisha ya watu wengine badala ya kutumia muda huo kuhangaikia maisha yao
Swali la kizushi
Unapenda kufanya love Mara ngapi kwa wiki!?
Mara ya mwisho lini

DJ sepetu
 
Swali la kizushi
Unapenda kufanya love Mara ngapi kwa wiki!?
Mara ya mwisho lini

DJ sepetu
Kwa kawaida inatakiwa kufanya sex siyo chini ya mara3 kwa week ukiwa mzima, Lakini kulingana na wakati mwingine Ubusy wa maisha unajikuta upo mbali na mwenza wako Pale unapopata tym Unaupatia mwili wako haki yake, na kitu kingine ni kwamba Akili iliyo busy sana kutafuta pesa Huwa Haiwazi ngono muda mwingi, coz Akili ikichoka Hamu ya ngono pia hupotea Mfano nimetoka mwanza Jpili iliyopita, nikaenda Kahama SHY nikakaa cku3 Nikasafiri kwenda NGARA kupeleka Mchele NIMEFIKA Mwanza jioni ya Leo na kesho napaswa kwenda Arusha unafikiria muda wa kufanya ngono kweli?? Mazoezi pia yanasaidia sana kupunguza muda mwingu kuwaza ngono, hayo mambo ya kuwaza ngono kila wakati yapo kwa watu wanokaa kaa tu bila kuchosha Akili
 
Kwa kawaida inatakiwa kufanya sex siyo chini ya mara3 kwa week ukiwa mzima Lakini kulingana na wakati mwingine Ubusy wa maisha unajikuta upo mbali na mwenza wako Pale unapopata tym Unaupatia mwili wako hali yake, na kitu kingine ni kwamba Akili iliyo busy sana kutafuta pesa Huwa Haiwazi ngono muda mwingi, coz Akili ikichoka Hamu ya ngono pia hupotea Mfano nimetoka nimtoka mwanza Jpili iliyopita, nikaenda Kahama SHY nikakaa cku3 Nikasafiri kwenda NGARA kupeleka Mchele NIMEFIKA Mwanza jioni ya Leo unafikiria muda wa kufanya ngono kweli?? Mazoezi pia yanasaidia sana kupunguza muda mwingu kuwaza ngoni, hayo mambo ya kuwaza ngono kila wakati yapo kwa watu wanokaa kaa tu bila kuchosha Akili
Sawa
Ni lini au wakati gani ulikuwa Na furaha sana!?
Ililetwa Na nini
Lini uliwahi kuwa Na huzuni sana sababu gani

DJ sepetu
 
Sawa
Ni lini au wakati gani ulikuwa Na furaha sana!?
Ililetwa Na nini
Lini uliwahi kuwa Na huzuni sana sababu gani

DJ sepetu
Nilipofaulu kwenda form 1 na Mama wa kambo Akamzuia Baba yangu kunitolea ada na kweli MZEE akagoma kunisomesha Hapo ndo nilipopata huzuni isiyoelezeka kwa kweli, Lakini Kilichonipatia furaha ktk maisha yangu ni Siku Nilipompata Mama angu mzazi Aliyeondoka nyumbani nikiwa na umri wa Miaka2 pekee nikaja kuonana nae nikiwa na umri wa miaka20 Nilifurahi sana Kwa kweli na furaha yangu iliongezeka siku nilipomnunulia plot na kumjengea NYUMBA ya kuishi Japo siyo kubwa sana
 
Dah! Machozi yamenitoka!
Kwann ndoa za siku hizi hazidumu Na nyingi huvunjika

DJ sepetu
 
Prejudice is very bad...muonekano na matendo havina uhusiano!
Nikusaidie tu Mpendwa kati ya vitu ambavyo watu hukosea ni kuhusianisha mwonekano wa MTU na matendo, aiseee kuna watu wana mwonekano wa upole na huruma lakini ukweli ni Wakatili kupindukia
 
Back
Top Bottom