Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 5,996
- 6,290
Watanzania wamekuwa wakiwadharau wakenya sana linapokuja swala la muziki. Changamoto hapa.Naomba wabongo walete nyimbo za injili ambazo zimefikisha 5M views kwenda juu. Na si muziki wa kidunia tafadhali .
1.Ning'are by shusho.
Leteni hizo zingine
Sio kwel"We" ukimaanisha wewe na nani?
Hapa bongo gospel siyo popular sana japo kuna few individuals wanaofanya vizuri, sababu Muslim ndio majority ya population tupo zaidi ya 60%
Never. Nigeria leads in gospel music in Africa. We are talking about swahili gospel here. Please don't change the topicSouth Africa Gospel songs so far the best in Africa
Gospel ya Tanzania inasapotiwa na Kenya"We" ukimaanisha wewe na nani?
Hapa bongo gospel siyo popular sana japo kuna few individuals wanaofanya vizuri, sababu Muslim ndio majority ya population tupo zaidi ya 60%
Wivu utakuua jamani. Sio views pekee. Mziki wa injili unafanya vizuri sana hapa Kenya. Naamini wewe unaabudu miungu ya China wewe ni Buddhist ndio maana huwezi elewa chochote kuhusu ukristo. Ubishi kila mahali huchoki?Hahahahahahaha,Tanzania inaongoza kwenye kila aina ya mziki Afrika Mashariki,Eti kisa views nyingi youtube ndiyo inamaanisha mnajua kuimba!!!!? Hamna mkenya yoyote anayejua kuimba.
Sipingi hilo they receive a lot of air play.secular only but when it comes to gospel there is equity hakuna kupendelea upande mmoja. Tz music hits because of Kenya. No Kenya no success in bongo musicSawa mnaongoza soo what, wakati najua radio zenu zina saturate nyimbo za wabongo huko kwenu.
Penda usipende Tanzania inaongoza kwenye kila aina ya mziki Afrika mashariki,Hamna mkenya anayejua kuimba msijidanganye.Wivu utakuua jamani. Sio views pekee. Mziki wa injili unafanya vizuri sana hapa Kenya. Naamini wewe unaabudu miungu ya China wewe ni Buddhist ndio maana huwezi elewa chochote kuhusu ukristo. Ubishi kila mahali huchoki?
Mimi kama freemason nitasikiliza vipi gospelSipingi hilo they receive a lot of air play.secular only but when it comes to gospel there is equity hakuna kupendelea upande mmoja. Tz music hits because of Kenya. No Kenya no success in bongo music
Mimi kama freemason nitasikiliza vipi gospel
Hapa tunazungumzia YouTube views. Kama hutaki kukubali kwamba hakuna wimbo wowote wa shusho na wengine ambao umeupiku wimbo wa mercy masika basi nyamaza .Kenya is a religious country and we support gospel music across the world. Even local gospel is doing very well here in Kenya. Unaposema wakenya hawajui kuimba sielewi wamaanisha nini maana hujui mkenya yeyote wewe. Kuzingua ndio unajua tu.Penda usipende Tanzania inaongoza kwenye kila aina ya mziki Afrika mashariki,Hamna mkenya anayejua kuimba msijidanganye.
teh teh teh teh teh teh teh teh teh,Hamna mkenya anayejua kuimba elewa kwanza hilo.Hapa tunazungumzia YouTube views. Kama hutaki kukubali kwamba hakuna wimbo wowote wa shusho na wengine ambao umeupiku wimbo wa mercy masika basi nyamaza .Kenya is a religious country and we support gospel music across the world. Even local gospel is doing very well here in Kenya. Unaposema wakenya hawajui kuimba sielewi wamaanisha nini maana hujui mkenya yeyote wewe. Kuzingua ndio unajua tu.
Whatever tafuta wa kubishana na yeye. Mimi si wa rika lakoteh teh teh teh teh teh teh teh teh,Hamna mkenya anayejua kuimba elewa kwanza hilo.
Hata mimi siwezi kubishana na mtu kama wewe tafuta,saizi yako ndiyo mtawezana, hahahahahaha by the way Karibu Tanzania.Whatever tafuta wa kubishana na yeye. Mimi si wa rika lako
Hujalala bado?Hata mimi siwezi kubishana na mtu kama wewe tafuta,saizi yako ndiyo mtawezana, hahahahahaha by the way Karibu Tanzania.
Bado mapema sana.Hujalala bado?
Sawa basi .Alamsiki.Bado mapema sana.
Na wewe pia.Sawa basi .Alamsiki.