Swahili gospel YouTube views

Swahili gospel YouTube views

Hahahahahahaha,Tanzania inaongoza kwenye kila aina ya mziki Afrika Mashariki,Eti kisa views nyingi youtube ndiyo inamaanisha mnajua kuimba!!!!? Hamna mkenya yoyote anayejua kuimba.
Wivu utakuua jamani. Sio views pekee. Mziki wa injili unafanya vizuri sana hapa Kenya. Naamini wewe unaabudu miungu ya China wewe ni Buddhist ndio maana huwezi elewa chochote kuhusu ukristo. Ubishi kila mahali huchoki?
 
Sawa mnaongoza soo what, wakati najua radio zenu zina saturate nyimbo za wabongo huko kwenu.
Sipingi hilo they receive a lot of air play.secular only but when it comes to gospel there is equity hakuna kupendelea upande mmoja. Tz music hits because of Kenya. No Kenya no success in bongo music
 
Sasa gospel gani unayojisifia tena huko kwenu, gospel yenu ipo kama parting songs,mfano pamela njoo kwa yesu mmmh, huku tz mkenya anayesikilizwa kidogo ni mercy masika, wengine hawajulikani huku, kina rose muhando na shusho hawasikiki sana now days sababu ya new faces like Goodluck , otherwise njoo Tz ufanye research my friend usidanganyike, tz Kuna varieties nyingi za songs na wasanii ni wengi, na wanaotoboa kila siku ni wengi hivyo market share kwa kila mwimbaji ni finyu sana, kuna waimbaji wengi sana wana low profile as live performers, unavyoiona bongo fleva ina saturate Kenya sababu ni kuwa na air time, lakini kama ikifanywa hivyo kwa gospel my friend it will be catastrophy hapo kwenu. Vile vile elewa population ya dini tz ni almost [emoji279] 0.5 hivyo kupewa air time bongo inakuwa siyo Kivile, otherwise njoo bongo ujionee kwa macho mwenyewe usikulupuke kwenye keyboard.
 
Wivu utakuua jamani. Sio views pekee. Mziki wa injili unafanya vizuri sana hapa Kenya. Naamini wewe unaabudu miungu ya China wewe ni Buddhist ndio maana huwezi elewa chochote kuhusu ukristo. Ubishi kila mahali huchoki?
Penda usipende Tanzania inaongoza kwenye kila aina ya mziki Afrika mashariki,Hamna mkenya anayejua kuimba msijidanganye.
 
Penda usipende Tanzania inaongoza kwenye kila aina ya mziki Afrika mashariki,Hamna mkenya anayejua kuimba msijidanganye.
Hapa tunazungumzia YouTube views. Kama hutaki kukubali kwamba hakuna wimbo wowote wa shusho na wengine ambao umeupiku wimbo wa mercy masika basi nyamaza .Kenya is a religious country and we support gospel music across the world. Even local gospel is doing very well here in Kenya. Unaposema wakenya hawajui kuimba sielewi wamaanisha nini maana hujui mkenya yeyote wewe. Kuzingua ndio unajua tu.
 
teh teh teh teh teh teh teh teh teh,Hamna mkenya anayejua kuimba elewa kwanza hilo.
 
Back
Top Bottom