Sasa gospel gani unayojisifia tena huko kwenu, gospel yenu ipo kama parting songs,mfano pamela njoo kwa yesu mmmh, huku tz mkenya anayesikilizwa kidogo ni mercy masika, wengine hawajulikani huku, kina rose muhando na shusho hawasikiki sana now days sababu ya new faces like Goodluck , otherwise njoo Tz ufanye research my friend usidanganyike, tz Kuna varieties nyingi za songs na wasanii ni wengi, na wanaotoboa kila siku ni wengi hivyo market share kwa kila mwimbaji ni finyu sana, kuna waimbaji wengi sana wana low profile as live performers, unavyoiona bongo fleva ina saturate Kenya sababu ni kuwa na air time, lakini kama ikifanywa hivyo kwa gospel my friend it will be catastrophy hapo kwenu. Vile vile elewa population ya dini tz ni almost [emoji279] 0.5 hivyo kupewa air time bongo inakuwa siyo Kivile, otherwise njoo bongo ujionee kwa macho mwenyewe usikulupuke kwenye keyboard.