Mods tafadhalini msiunge huu uzi,
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo).
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo).
- Bajeti ya ulinzi ya Israel ni Dola Bilioni 30 (Shilingi Trilioni 82)
- Marekani huisaidia Dola Bilioni 3 (Shilingi Trilioni 7)
- Bajeti ya Israel kununua silaha za Ufaransa ni Dola Milioni 20 (Shilingi Bilioni 54)
- Silaha nyingi zaidi Israel hununua Marekani