Aibu iwe juu yake Netanyahu, maana Marekani hataki kumuunga mkono wenye ukorofi wake toka awali. Wafaransa washike hapo hapo!Mods tafadhalini msiunge huu uzi,
Rais wa Ufaransa ametangaza kuwawekea vikwazo Israel kwenye silaha wanazonunua Ufaransa
Ufaransa huwauzia Israel Silaha zenye thamani ya Dola milioni 20 (Shilingi bilioni 54 )
Bajeti ya ulinzi ya Israel kila mwaka ni Dola Bilioni 25 (Shilingi Trilioni 68) Silaha zake nyingi hununua Marekani
View attachment 3116794
"Tutashinda hata bila msaada wao"Aibu iwe juu yake Netanyahu, maana Marekani hataki kumuunga mkono wenye ukorofi wake toka awali. Wafaransa washike hapo hapo!
Wana stock ya kutosha, wanajua muda wowote kinanukaIsrael yenyewe intergenerational silaha za kutosha! Hata asipouziwa inajitoshereza!
Kabishane na Rais wa Ufaransa alietoa wito wa kuwawekea vikwazo kwenye mauzoIsrael hauziwi Siraha, bali anapewa kama msaada.
Acha uongo. Marekani ndiye anayechangia asilimia kubwa ya bajeti ya silaha kwa Israel.Watu wengi wanafikiri Israel inapewa silaha bure na washirika wake wa Magharibi ila kiukweli wananunua na hakuna hata risasi moja inayopelekwa israel ambayo wanapewa bure...
Sio silaha zote anauziwa na Mataifa ya Ulaya. Asilimia kubwa ya silaha ni msaada na washirika wake huwa wanasema wazi.Kabishane na Rais wa Ufaransa alietoa wito wa kuwawekea vikwazo kwenye mauzo
Yaani awe na silaha za kutosha halafu awe anaendekeza umatonya wake kwa mabwana zake Marekani na Ulaya?Israel yenyewe intergenerational silaha za kutosha! Hata asipouziwa inajitoshereza!
Hajiwezi alafu anawatukana wanaomuezesha.Mods tafadhalini msiunge huu uzi,
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo).
- Bajeti ya ulinzi ya Israel ni Dola Bilioni 25 (Shilingi Trilioni 68)
- Marekani huisaidia Dola Bilioni 3 (Shilingi Trilioni 7)
- Bajeti ya Israel kununua silaha za Ufaransa ni Dola Milioni 20 (Shilingi Bilioni 54)
- Silaha nyingi zaidi Israel hununua Marekani
View attachment 3116813
Acha uongo. Marekani ndiye anayechangia asilimia kubwa ya bajeti ya silaha kwa Israel.
Marekani inaisaidia Israel na inatangaza wazi kuisaidia sio kuiuzia.
Utamuuziaje silaha mtu uliyemtengemeza mwenyewe ili alinde maslahi ya wazungu pale middle east?
Israel ni omba omba kama nchi nyingine za dunia ya tatu maana ni taifa la mchongo lililoanzishwa na wazungu kwa malengo yao.
Hivi hii chuki kwa Israel huwa inatokana na nini? Tuambiane ukweli sisi waswahili jama...Acha uongo. Marekani ndiye anayechangia asilimia kubwa ya bajeti ya silaha kwa Israel.
Marekani inaisaidia Israel na inatangaza wazi kuisaidia sio kuiuzia.
Utamuuziaje silaha mtu uliyemtengemeza mwenyewe ili alinde maslahi ya wazungu pale middle east?
Israel ni omba omba kama nchi nyingine za dunia ya tatu maana ni taifa la mchongo lililoanzishwa na wazungu kwa malengo yao.
Hakuna mahala aliposema wawekee vikwazo kwenye mauzo bali ameshauri wasiwape wawekee vikwazo vyakutowapa Siraha.Kabishane na Rais wa Ufaransa alietoa wito wa kuwawekea vikwazo kwenye mauzo
Aulizwe Hitler, lkn hapo middle east wanataka taifa huru la Palestine kwa kuzingatia mipaka ya 1967 otherwise asipokubali vita haitoisha, nawala hatokaa kwa amani.Hivi hii chuki kwa Israel huwa inatokana na nini? Tuambiane ukweli sisi waswahili jama...
Ni nini hasa?
Watu hadi wanakufa wakiwa katika harakati za kuiangamiza Israel taifa pekee la wayahudi duniani...ilhali waarabu, waislamu, wakristo n.k wana mataifa yao mengi tu!
Hako kamoja ka wayahudi nako hakatakiwi, tatizo ni gani eti tujuzeni bandugu
Hiyo ufaransa inawauzia silaha Israel kwa asilimia ndogo sana yani huwezi kusema Israel inategemea silaha kutoka ufaransa, hizo nchi zote za ulaya haziwezi ifikia marekani kwa silaha inazopeleka Israel,Hakuna mahala aliposema wawekee vikwazo kwenye mauzo bali ameshauri wasiwape wawekee vikwazo vyakutowapa Siraha.
Hawawauzii wanawapa msaada, neno kuwauzia litoe. Hata Joe Biden juzi kasema hakuna Raisi wa Marekan alielisaidia kulipa misaada taifa la Israel kama yeye, akasema mara tatu hakuna, hakuna, hakuna kama yeye.Hiyo ufaransa inawauzia silaha Israel kwa asilimia ndogo sana yani huwezi kusema Israel inategemea silaha kutoka ufaransa, hizo nchi zote za ulaya haziwezi ifikia marekani kwa silaha inazopeleka Israel,
Kwahyo hata ufaransa ikigoma kupeleka silaha Bado haitaidhoofisha Israel kwenye vita vyake