Swala anayetambulishwa Wasafi ni nani hasa?

Swala ni swala tu yani ni mnyama wa porini labda utuulize anatokea mbuga gani?
 
Huyo sio level ya Wasafi, ungeniambia Azam ama Ikulu mawasiliano sawa.
Ikulu mawasiliano ni ngumu kikeke nadhani amezaa na mzungu au alioa mzungu walikuwa wote BBC sasa hiyo ni sababu tosha inayomnyima credit ya kufanya kazi ikulu 100%, ikulu ni sehemu nyeti angelikuwa hajazaa au kuoa mzungu angepata hiyo nafasi.
 
Siku hizi Ikulu haina nyeti tena Kwan hujasikia inajengwa shopping mall kuuubwa Ikulu?
 
Unadhani itakuwa ndani ya ikulu au nje ya ikulu [emoji23][emoji23]
Hivi wewe unachukulia poa ikulu eeh
 
Back
Top Bottom