Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lisemalo lipo nyie utopolo subilini kuteseka tuSote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi.
Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii ni propaganda imepangwa na wapinzani kujaribu kuitoa Yanga kwenye Focus kuelekea game na Azam hapo kesho.
Puuzieni Wananchi sisi ndio tunaelewa Feisal bado yupo sana tu Focus kwenye game yetu na haohao Azam.
Hakuna kitu wapinzani wanapenda kama kutuona tunababaika na mambo kama haya ambayo kwa Yanga ni madogo mno.
#Daimambelenyumamwiko
Soma Yote...Nimeishia kusoma kwenye mabano ya mwanzo tu sijui bin utumbo gani
sio propaganda ni kweli fei ameondoka yangaSote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi.
Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii ni propaganda imepangwa na wapinzani kujaribu kuitoa Yanga kwenye Focus kuelekea game na Azam hapo kesho.
Puuzieni Wananchi sisi ndio tunaelewa Feisal bado yupo sana tu Focus kwenye game yetu na haohao Azam.
Hakuna kitu wapinzani wanapenda kama kutuona tunababaika na mambo kama haya ambayo kwa Yanga ni madogo mno.
#Daimambelenyumamwiko
This world is difficult for the blindWewe ndio huyu kwani? View attachment 2456382
Pole sanaThis world is difficult for the blind
Namaanisha hii dunia ni ngumu kwa watu wasioweza kuchanganua mambo kwa upana kama wewe. Najua hukunielewa na ninaomba nikuache maana hauna point itakayofanya tujadiliane.Pole sana
Bora tuache kweli kubishana na mtu ambaye level ya akili ni kiwango cha profound kazi ngumu sana., you seem to have some kind of intellectual disability probably kwenye profound hukoNamaanisha hii dunia ni ngumu kwa watu wasioweza kuchanganua mambo kwa upana kama wewe. Najua hukunielewa na ninaomba nikuache maana hauna point itakayofanya tujadiliane.
Halii labda sauti yake tu ipo hivyo.Mbona kama unataka kulia
NakaziaMimi ni mpenzi wa Yanga lakini sitasikitika akiondoka. Najua tutalipwa hela nzuri. Ningependelea nafasi yake ijazwe na Gomez wa SBS, yule jamaa ni Fundi mara 4 ya feisal
4M kwa maana anazidiwa hadi na Manara?Ndugu zake kila siku walikua wanakuja klabuni wanashinikiza aondoke
We middle kama Ile ya kuilipa 4M kwa mwezi kweli au mlimuona ami yenu yule?
Halafu jinga kama Morrison unampa 16mNdugu zake kila siku walikua wanakuja klabuni wanashinikiza aondoke
We middle kama Ile ya kuilipa 4M kwa mwezi kweli au mlimuona ami yenu yule?
[emoji23][emoji23]mkakati wapi mpk bwana bumbuli kaandika Kwa uchungu hv na akaamua kuwatafsiria wala mihogo Afu eti MkakatiEti mkakatiView attachment 2456343
Umeandika kishabiki katika dunia ambayo pesa inaamua kila kitu.Sote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi.
Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii ni propaganda imepangwa na wapinzani kujaribu kuitoa Yanga kwenye Focus kuelekea game na Azam hapo kesho.
Puuzieni Wananchi sisi ndio tunaelewa Feisal bado yupo sana tu Focus kwenye game yetu na haohao Azam.
Hakuna kitu wapinzani wanapenda kama kutuona tunababaika na mambo kama haya ambayo kwa Yanga ni madogo mno.
#Daimambelenyumamwiko
Mkuu hebu acha basi4M kwa maana anazidiwa hadi na Manara?
Kwa Yanga mdomo unakuwa una value kubwa sana kuliko miguu inayotafuta points 3 uwanjani
Huu si upuuzi huu???
Mimi sijakataa kama Feisal hawezi kuondoka. Ninachosema hii kitu ipo kimkakati ili kuleta kauzibe kwenye kambi ya Yanga kuelekea game muhimu dhidi ya Azam.Umeandika kishabiki katika dunia ambayo pesa inaamua kila kitu.
Watu wa nyanda za juu kusini huwa na akili na uwezo mkubwa kifikra Sasa sijui wewe mwezetu vipi? Sasa hako kauzibe kwenye kambi ya yanga kanakujaje wakati wao ndo wanajua A to Z kuhusu mchezaji wao?Mimi sijakataa kama Feisal hawezi kuondoka. Ninachosema hii kitu ipo kimkakati ili kuleta kauzibe kwenye kambi ya Yanga kuelekea game muhimu dhidi ya Azam.
Hii issue inawezekana ni kweli au si kweli lakini elewa nilichotaka kusema. Someni vizuri maandishi yangu