Swala la Feitoto ni PROPAGANDA iliyopangwa kimkakati

Sote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi.

Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii ni propaganda imepangwa na wapinzani kujaribu kuitoa Yanga kwenye Focus kuelekea game na Azam hapo kesho.

Puuzieni Wananchi sisi ndio tunaelewa Feisal bado yupo sana tu Focus kwenye game yetu na haohao Azam.

Hakuna kitu wapinzani wanapenda kama kutuona tunababaika na mambo kama haya ambayo kwa Yanga ni madogo mno.

#Daimambelenyumamwiko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]lisemalo lipo nyie utopolo subilini kuteseka tu
 
Sote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi.

Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii ni propaganda imepangwa na wapinzani kujaribu kuitoa Yanga kwenye Focus kuelekea game na Azam hapo kesho.

Puuzieni Wananchi sisi ndio tunaelewa Feisal bado yupo sana tu Focus kwenye game yetu na haohao Azam.

Hakuna kitu wapinzani wanapenda kama kutuona tunababaika na mambo kama haya ambayo kwa Yanga ni madogo mno.

#Daimambelenyumamwiko
sio propaganda ni kweli fei ameondoka yanga
 
Namaanisha hii dunia ni ngumu kwa watu wasioweza kuchanganua mambo kwa upana kama wewe. Najua hukunielewa na ninaomba nikuache maana hauna point itakayofanya tujadiliane.
Bora tuache kweli kubishana na mtu ambaye level ya akili ni kiwango cha profound kazi ngumu sana., you seem to have some kind of intellectual disability probably kwenye profound huko
 
Mimi ni Yanga pure kwa ilo feisal nenda azam kwa pesa na mkataba ule unaachaje kwenda kwa mfano wabongo siyo wavumilivu watakuja kukucheka kama ngasa apo baadae ukifanya mchezo..
 
Ni kweli Faisal hawezi kuondoka Gongowazi, yeye anacheza kwa mapenzi tu na si vinginevyo, hata kama Yusuph aweke milioni 16, yeye ataendelea na zile milioni 3 kwani kuna shida gani..?!

Mwenye akili huwezi kumpa akili..Kanuni.
 
Ndugu zake kila siku walikua wanakuja klabuni wanashinikiza aondoke

We middle kama Ile ya kuilipa 4M kwa mwezi kweli au mlimuona ami yenu yule?
4M kwa maana anazidiwa hadi na Manara?

Kwa Yanga mdomo unakuwa una value kubwa sana kuliko miguu inayotafuta points 3 uwanjani

Huu si upuuzi huu???
 
Sote hatuna uhakika humu ila kwa namna navyoelewa siasa za mpira wa Bongo huyu Feisal haondoki Yanga sasa hivi.

Haya mambo yanayoendelea mitandaoni sijui its done deal hakuna kitu kama icho. Hii ni propaganda imepangwa na wapinzani kujaribu kuitoa Yanga kwenye Focus kuelekea game na Azam hapo kesho.

Puuzieni Wananchi sisi ndio tunaelewa Feisal bado yupo sana tu Focus kwenye game yetu na haohao Azam.

Hakuna kitu wapinzani wanapenda kama kutuona tunababaika na mambo kama haya ambayo kwa Yanga ni madogo mno.

#Daimambelenyumamwiko
Umeandika kishabiki katika dunia ambayo pesa inaamua kila kitu.
 
Mimi sijakataa kama Feisal hawezi kuondoka. Ninachosema hii kitu ipo kimkakati ili kuleta kauzibe kwenye kambi ya Yanga kuelekea game muhimu dhidi ya Azam.

Hii issue inawezekana ni kweli au si kweli lakini elewa nilichotaka kusema. Someni vizuri maandishi yangu
 
Watu wa nyanda za juu kusini huwa na akili na uwezo mkubwa kifikra Sasa sijui wewe mwezetu vipi? Sasa hako kauzibe kwenye kambi ya yanga kanakujaje wakati wao ndo wanajua A to Z kuhusu mchezaji wao?
 
Back
Top Bottom