Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria.

Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la.

Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli.
1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema.

2. Sms za vitisho. Hizi zinasibitika wakifatilia kwenye mitandao. Kama uwongo ashitakiwe

Kwasababu swala lake liko mahakama za cas ilikuwa lazma kila anachoongea awepo wakili kupima makosa ya kisheria.

Ata wewe na Mimi hatupaswi kutoa tuhuma zozote ata Kama Ni za kweli kwa mtu bila kuwa na mwanasheria yasije kukuta ya musiba na membe
 
ACHA KUSHABIKIA VITU VYA KIJINGA KAFANYE KAZI TUMCHANGIE MKOMBOZI NDO KWANZA KUNA M9 TU,ILA CHA KUSIKITISHA HII BLANDA LAO LA LEO MPK WENGINE KUTAKA KURUDISHIWA PESA ZAO CJUI TUTATOBOA KWENDA CAS!!!
 
Back
Top Bottom