Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Mtumishi Max..Ubarikiwe sana..
Watu wana macho lakini hawaoni..
Nimeifuatilia hii clip ya hawa wanawake wa kifilisti kuna mmoja ametoa hoja kuwa hii mila ni ktk kumfanya mwanamke 'aweze kujihimili' on his husband's absence wakti akipigana Jihad.. na kwa sababu hizi vita havina mwongozo wa Kimungu huwa vinachukuaga hata muongo mzima.. Hoja ya huyu mama imeeleweka kwa upande wangu kwani it is logically-explainable haina punje ya chenga ndani yake, ungeileta wewe mtumishi Max, wangesema umejitungia na blah blah nyingine..
Kuhusu hawa wataleban ambao wanakuwa vitani (Jihad), na wanawake wao kukeketwa ili wasi-enjoy prevelages za uanamke on their absence, wao kwa upande wao mambo yao swaafi.. Wamepewa uhuru wa kufanya azl (coitus interruptus) kwa wanawake mateka (ubakaji), kufanya ufuska (ndoa za muda au prostitution) n.k .
Sasa nafikiri mwenye macho anaweza kuona nazungumzia nini.
Hoja ya msingi hapa ni kuwa, kuna watu ktk baadhi ya imaan wanapractice haya mambo kadr ya imaan yao, whether their imaan is false or not hilo ni suala jingine, lakini suala la deen linaingia hapa.
Was'alam