Swala la kutahiriwa kwa wanawake...mnasemaje?

Swala la kutahiriwa kwa wanawake...mnasemaje?

Oooh ABT, this issue is always very sad for me. Yaani huwa haina huruma ata kidogo.

It's very sad and disturbing the way they do it, no anaesthesia, no sterile equipment, bleeding to death, problems nyngi.

I always say that this cultural belief imepitwa na wakati. It is useless.

The argument is that it lowers the libido in women so that they do not cheat on their husbands or inapunguza passion or intensity kwa wanawake.

what i know is FGM or no FGM, when a woman wants to cheat they will...end of story. In this age of temptation, no one is spared.

We have to evolve, get rid of practices that do more harm than good. Instead come up with better options of initiation.

the churches are now doing something different for the boys that is christian based and they take the kids to hospital, teach them all about the "birds and bees" and how to respect themselves.

Mkuu Nyaralego
Sipingi hoja hizi ila nataka tuweke haya mambo wazi na sawa.
FGM ni neno la kiuanaharakati zaidi. Female Genital Mutilation ni kukata kata uchi wa mwanamke bila utaratibu wakati wenye kazi yao wanasema wanakata kwa utaratibu-tohara (circumcision).
Ni vizuri wakati wa kupambana na tatizo kutoweka hisia ndani yake kwani inaweza kusisitisha au kufifisha mbinu za kukabili tatizo. Ukweli kukata kinembe/kisimi ni tatizo tena kubwa, hivyo tuseme wasikikate bila hiari ya mkatwa kulingana na sheria. Pia tuwe tunatoa mbadala wa kila tunachoondoa (kama mila zilizopitwa na wakati) kwani ukiacha ombwe (vaccum) hata takataka (mbaya zaidi ya ulizoondoa) zitajaa kuziba ombwe
 
Types of Islamic Female Genital Cutting

Islamic Female genital cutting is “term used to refer to any practice which includes the removal or the alteration of the female genitalia.”[5] There are three basic types of IFGC[6]:

Type I: This is the mildest form of IFGC, which includes removing or splitting the prepuce (foreskin or ‘hood’) which covers the clitoris of females, thus exposing the glans. This may be couple with partial or total excision of the clitoris. This is known as clitoridotomy (slang: hoodectomy). According to the United Nations Population Fund, this form is comparable to male circumcision.[7] This is sometimes also called “sunna circumcision” due to the fact that it is this type which is performed commonly by those Muslims who believe it to be legislated in Islam.

Type II: In this type, known as clitoridectomy, the clitoris and labia minora is partially or totally removed.

Type III: This is one of the most extreme forms of IFGC, involving the total excision of the clitoris, both the labia minora and majora, and the joining of the two sides of the vulva across the vagina, sewn with thread or secured with other items, until it heals joining together. Only a small, pencil-size hole is left to allow passage of menstrual blood and urine. This is known as infibulation or Pharaonic Circumcision, in reference to its origins.

Type IV: This type is inclusive of all other forms of genital cutting, such as: pricking, piercing or incision of the clitoris and/or labia; stretching of the clitoris and/or labia; cauterization by burning of the clitoris and surrounding tissue; introcision, scraping (angurya cuts) or cutting (gishri cuts) of the vagina or surrounding tissue; and introduction of corrosive substances or herbs into the vagina.

Haya ndiyo mambo ya hawa ndugu zetu wa mama wa kambo.

NONE OF THE TYPES AND THE WHOLE ACT IS ISLAMIC.

wewe mwenyewe umeonesha hapo type iii ikiitwa la kifrauni(Pharaonic) sasa ushaona ilikotokea bado unasema ni islamic unashindwa kutushawishi kwamba uko mzima kichwani. POLE SANA.
 
Waislam, naona mmeishiwa hoja na kukosa aya au hadith au authentic reference kupinga ukweli ulio semwa na Mtume wenu Marehemu Mwamadi, kuhusu kukatwa kwa akina mama na visichana vidogo.

Hoja zenu za kutoka vichwani mwenu, zilizokosa ushaidi wa aya au hadith, zimeshindwa kusema ukweli zaidi ya kujaa porojo za misikitini zilizokosa ushaidi wa ki-aya. Majibu yenu si lolote wala chochote zaidi ya kuwa hoja kilema.

Majibu yenu kamwe hayata kubalika bila ya kuambatanisha ushaidi wa aya kutoka Koran.

__________________

This is boomerang... Mwanaizaya... ushahidi wako wewe wa kutoka kwenye Qur'an upo wapi... mbona umebakia kubwabwaja bila ushahidi....!?
 
XP Umesema kweli kabisa.
Bahati mbaya sana kutokana na maslahi binafsi ya watu kumekuwa na kamtindo ka kuhusisha mila hii na dini.Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo wakati jitihada za kupinga ukeketaji zimepamba moto, niliwahi kuhudhuria mkutano huko Senegal na katika majadiliano, wanawake wa Senegal na Gambia walisema kwamba wanalazimishwa kukeketwa kwa kuambiwa kuwa ni agizo kutoka kwenye Qoran.Bahati katika mkutano huo kulikuwa na wanazuoni waliobobea walioweza kuonyesha kwamba huo haukuwa ukweli.Ila pamoja na hayo nadhani iko haja kubwa kuelimisha zaidi wahusika wajue dini/imani yao inaagiza nini maana wengi bado waliendelea kuamini kwamba ni agizo linalostahili kutekelezwa.
All i all nadhani tunapaswa kutenganisha desturi zinazoendana na dini na zile zinazoendana na mila.

!!!!!!!!!!!!!!!! Unataka sema ukeketaji wa Egypt hauna uhusiano na dini? Kama wale wanawake kule Senegali walikuambia kuwa walikuwa wanafanyiwa ukeketwaji kwa sababu ya dini, na wenyewe walikuthibitishia hilo, unahitaji wanazuoni wa nini kuwauliza? Maana waliowafanya hawa wakeketwe ni hao hao ambao waliawambia kuwa ni kwa sababu ya dini? Au una ujumbe gani hapa? Unless madhehebu mbali mbali ya hiyo dini yana-lugha tofauti.

point yako ya pili ni sawa kabisa. Kuwa kuna haja ya elimu. Tukianza kukimbilia kuwa watu wa kabila fulani ndiyo wakeketwaji, Misri hakuna kabila ila ni kama 99% Waislamu. Kunahitaji uangalifu ku-analyse hii.
 
Kwa Waislam wasio juwa kusoma Koran yao ya Kiarabu. Haya someni tena kwa KIDHUNGHU.

Uthibitisho:
Prophet Muhammad (P) is reported to have passed by a woman performing circumcision on a young girl. He instructed the woman by saying:
"Cut off the foreskin (outer fold of skin over the clitoris; the prepuce) but do not cut off deeply, for this is brighter for the face (of the girl) and more favorable with the husband." [8]

XP lete porojo zako tuone.
 
Tuachane na hizi arguments za dini kwenye suala hili la ukeketaji. Ile ya Egypt ambayo mpaka kesho inafanywa Somalia ni kumshona binti ili kuilinda bikra mpaka apate mchumba inafuguliwa.
Kwa wenye kumbukumbu miaka ya mwishoni mwa tisini kuna jahazi ilitinga Dar ikiwa na wahamiaji haramu zaidi ya 100 wakikimbia machafuko Somalia. Miongoni mwao walikuwepo wanawake 78. Baada ya vuta nikuvute waliruhusiwa kuingia mjini na wakajazana Ilala Shariff shamba kwa Wasomali wenzao. Siku za mwanzo walilala nje kabla ya kugwana gawana na kupata pa kujishikiza.
Ilala ilikuwa balaa kwani zikaenea habari wasichana wote walikuja, wamefungwa bikra mwenye kutaka akachague aozeshwe Kiislamu ndipo bikra zifunguliwe.
Mabinti wakisomali, wazuri kwa maumbo, buibui mpaka kufunika macho, kiswahili hakipandi wala lugha nyingine yoyote
Zaidi ya kisomali. Nadhani walitokea wachumba wacheche wakisomali na huwa inachukua zaidi ya wiki tangu kufunguliwa hiyo bikra mpaka kuuingiliwa. Lakini hatimaye iliamuliwa kwa vile hapa sio Somalia, basi waliokuja wote walifunguliwa hizo bikra kusubiri wachumba.
Baada ya kufunguliwa hizo bikra kazi ikawa ni moja, sio kusubiri wachumba bali sasa ni kujiuza Califonia na Bills. Kwa miezi kadhaa biashara ilitawaliwa na vibinti vya kisomali ambavyo vililiteka soko lote la 'the oldest proffesion'.
Dada zetu walilala njaa maana hebu fikiria binti wa kisomali kutwa kwenye hijabu unamkuta nusu uchi na kwa vile wanashida na lugha haipandi ni kwa bei yoyote wao tende kazini.
Haikuchukua muda watu wakaanza kuhadithiana kuwa hawa wasomali wazuri kweli tatizo chini hamna kitu ni shimo tuu. Kwa waliozoea kushika, hakuna cha kushika ni kanyaga twende. Wazungu wakawa wa kwanza kuwakimbia na kuwarudia dada zetu wabongo na hatimaye pia wanaume wa kibongo wakawashtukia hawakolei chochote hatimaye wakakosa soko na siui walipotelea wapi.

Lengo la simulizi hii ni kuonyesha jinsi tohara kwa wanawake ilivyo katili. Licha ya kumyima raha mwanamke asiemjoy kile kitendo, pia inamharibu na kumuondoa ladha yote anakuwa sio mtamu tena wala hakolei maana hamna kitu!
 
Yes Pasco. Tuachane na Dini. Hapo nakuunga mkono.

Ila bado nahisi kuna haja ta kuweka clear points zako. Sijui hao walishonwa vipi ila kwa Somalia kutahiriwa mpaka leo bado ipo endemic sana. Nime-interacts na binti kadhaa ambao ni wakimbizi, ukibeba na ukijaribu kugusa ANTENNA ili ikamate frequency sawa sawa unakuta haipo!. Bila wasi wasi wanakupa plight story yao, kwamba kila mmoja. Sijawahi kumkuta msomali mwenye antenna hata mmoja. Lakini pia usisahau pia hapo chini Germany kuna mrembo wa Kisomali ambaye sasa hivi ni millionnaire (jina?) simply kwa kujitangaza kuwa amekeketwa na kwamba kama mkeketwaji atakuwa mstari wa mbele kupiga vita hiyo mila ikomeshwe, hasa kwa kuanzia nchi kwake.

Kwa hiyo pale Somalia hao wa Ilala walikuwa na bahati. Karibu wote wamefyekwa antenna zao.
 
Kwa Waislam wasio juwa kusoma Koran yao ya Kiarabu. Haya someni tena kwa KIDHUNGHU.

Uthibitisho:
Prophet Muhammad (P) is reported to have passed by a woman performing circumcision on a young girl. He instructed the woman by saying:
"Cut off the foreskin (outer fold of skin over the clitoris; the prepuce) but do not cut off deeply, for this is brighter for the face (of the girl) and more favorable with the husband." [8]

XP lete porojo zako tuone.

Ah ah ah ah... eti Qur'an ya ya kizungu...! Mtu kama hana elimu shida sana.
Ndio sura na aya ya ngapi kwenye Qur'an... Kwi...! Kwi...! Kwi...! Kwi...!
 
Ulifikiri hapa ni Msikitini wanapoongea porojo. LETE AYA TUONE. Hivi unajuwa maana ya USHAIDI?

Mwaka huu mpaka ulete ushaidi wa aya tuone unacho pinga. Mtume wako keshasema kiuwazi kuwa wanawake wakatwe, wewe XP unapinga Mtume wa Waislam kama nani? Huna hoja wewe, umebakia na maneno matupu. LETE AYA TUONE, KAMA KWELI UNAUJUWA UISLAM WAKO.

Kumbe hujui authentic islamic books zenu. LOL Inaoneka hujuwi wapi nilipo toa nukuu yangu.
 
Na miongoni mwa watu wapo ambao hununua maneno ya uwongo wawasimulie watu wapate kuwatenga na Uislamu na Qur'ani kwa kutojua dhambi zilio juu yao, na wanaifanyia maskhara Dini ya Mwenyezi Mungu na Ufunuo wake. Watendayo hayo watapata adhabu ya kuwatia unyonge na kuwadhalilisha.
 
Haaha ahaha ahaha ahaha ahahaha ahahaha ahahaha ahahahahnaaa aaa

Kaaaaaaazzi kweli kweli.

Naona hoja imekuwa ngumu, sasa jamaa wanafundisha Koran wakifikiri JF ni Madrasa. Huo ni ushaidi tosha kwamba XP alikuwa anapindisha mada na kukosa aya kutoka Koran kupinga ukweli alio sema Marehemu Mtume Mwammadi (MMM).
 
[media]http://www.youtube.com/watch?v=SBbhXYCKCao[/media]

It is so sad to continue hearing that FGM is still rampant out there. Look at Uganda scenario, on Christmass eve 500 girls were mutilated.

500 girls mutilated over Christmas
Wednesday, 31st December, 2008 E-mail article Print article

By Frederick Womakuyu

ABOUT 500 girls were circumcised in Sebei region over the Christmas period, a sharp rise in Female Genital Mutilation from just 90 in the previous circumcision season.

Bukwo and Kapchorwa local leaders said 490 girls aged between 10 and 21 years underwent the ritual that now involves the removal of not only the clitoris but also the entire labia.

The removal of the labia is an influence from the Kenyan Pokot who live side by side with the Sebei. The removal of the entire labia does not only cause excessive bleeding, but also exposes the girls to more chronic infections, painful sexual intercourse and more complications during child birth.

New Vision Online : 500 girls mutilated over Christmas
 
kwa ukweli FGM ni kitu ambacho kibaya sana kwani unadhulumu mwana muke ktk mambo mingi sana, mimi najua wanawake wingi sana wametaharishwa na ktk hao utakuta zaidi ya 90% hawana raha ktk sex , na hii nikitu muhimu sana.
 
Thanks for your contribution. Kitu ninachooona hapa kibaya zaidi ni hali ile ya kuingiza dini kwa nguvu na kwakupotosha
FGM si religious practice bali cultural practice, na si vema kuchanganya mambo haya.

Katika nchi za Saudi Arabia, Jordan, Iraq, Iran, Qatar, UAE mbako kuna waislamu wengi sana haya mambo ya kinyama hayafanywi kabisa. Hata Tanzania sehemu ambazo kuna waislamu wengi kama Tanga, Lindi, Z'bar na mijoa mingine yenye waislamu unyama huu haupo kabisa ila wengi wanaoufanya wanafanya kutokana na sababu za kikabila na siyo za kidini.
 
It is so sad to continue hearing that FGM is still rampant out there. Look at Uganda scenario, on Christmass eve 500 girls were mutilated.

500 girls mutilated over Christmas
Wednesday, 31st December, 2008 E-mail article Print article

By Frederick Womakuyu

ABOUT 500 girls were circumcised in Sebei region over the Christmas period, a sharp rise in Female Genital Mutilation from just 90 in the previous circumcision season.

Bukwo and Kapchorwa local leaders said 490 girls aged between 10 and 21 years underwent the ritual that now involves the removal of not only the clitoris but also the entire labia.

The removal of the labia is an influence from the Kenyan Pokot who live side by side with the Sebei. The removal of the entire labia does not only cause excessive bleeding, but also exposes the girls to more chronic infections, painful sexual intercourse and more complications during child birth.

New Vision Online : 500 girls mutilated over Christmas

And the above article shows that FGM has nothing to with Islam. Na hata baadhi ya Waislam hapa ukumbini wamethibitisha hili.
 
Na miongoni mwa watu wapo ambao hununua maneno ya uwongo wawasimulie watu wapate kuwatenga na Uislamu na Qur'ani kwa kutojua dhambi zilio juu yao, na wanaifanyia maskhara Dini ya Mwenyezi Mungu na Ufunuo wake. Watendayo hayo watapata adhabu ya kuwatia unyonge na kuwadhalilisha.

Dini ya Mwenyezi Mungu? Acha masikhara wewe..Mungu yupi huyo ana dini? Salaleh!!
 
Back
Top Bottom