Swala la michezo Wana JF naomba mtoe maoni hapa

Swala la michezo Wana JF naomba mtoe maoni hapa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kulikuwa na mashindano ya kikapu ambayo chini umri 16.Washirki wawili walikutana ambao USA na el salvador's .

Matokeo USA alishinda kwa vikapu 114 huku El salvador's 19.

Umejifunza nini hapa kuhusu michezo
441227954_10163866005839012_7085419423516700195_n (1).jpg
 
Nimejifunza ya kuwa lishe bora ni muhimu kwa mustakabali wa taifa la baadae. Lakini pia, genes zina nafasi kubwa sana.

Lakini pia, mwili mkubwa si nguzo.
Salvador pamoja na kuonekana wadogo ila wamefunga point 19.
 
Back
Top Bottom