Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 May 25, 2024 #1 Kulikuwa na mashindano ya kikapu ambayo chini umri 16.Washirki wawili walikutana ambao USA na el salvador's . Matokeo USA alishinda kwa vikapu 114 huku El salvador's 19. Umejifunza nini hapa kuhusu michezo
Kulikuwa na mashindano ya kikapu ambayo chini umri 16.Washirki wawili walikutana ambao USA na el salvador's . Matokeo USA alishinda kwa vikapu 114 huku El salvador's 19. Umejifunza nini hapa kuhusu michezo
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,949 Reaction score 24,046 May 25, 2024 #2 Nimejifunza ya kuwa lishe bora ni muhimu kwa mustakabali wa taifa la baadae. Lakini pia, genes zina nafasi kubwa sana. Lakini pia, mwili mkubwa si nguzo. Salvador pamoja na kuonekana wadogo ila wamefunga point 19.
Nimejifunza ya kuwa lishe bora ni muhimu kwa mustakabali wa taifa la baadae. Lakini pia, genes zina nafasi kubwa sana. Lakini pia, mwili mkubwa si nguzo. Salvador pamoja na kuonekana wadogo ila wamefunga point 19.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 May 25, 2024 #3 face is not heart