Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo ni kwa mujibu WA Imani YakoMkristo hachinji bali anaua ! Nimekupa aya katika post ya tatu, Mwenyezi Mungu anasema tukichinja tutaje jina lake na tumshukuru ! Kumbuka wanyama ni umma kama sisi ! Kuna nidhamu nyingi ikiwemo kisu kuwa kikali. Wengine wanaua. Tofauti ya Washirikina na Wanaoamini iko wazi !
Sawasawa kumbe ni jambo Dogo tuHapo hakuna tatizo kabisa ! Ndio maana kule Moshi (Kibororoni) kuepuka mtafaruku wenye bucha za Nguruwe waliandika kabisa kuwa 'Bucha za Wakristo' na walieleweka !
Na ambao si waislam wakisema hatuli nyama iliyochinjwa na mwslam jeTukichinja sisi Waislaam kwa utaratibu tuliowekewa kwanza ni ibada na pili tunaonyesha shukrani kwa Mola wetu. Ukichinja wewe, chinja kwa raha zako na manufaa yako. Hatuhitaji ruhusa wala huruma ya mtu ! Ukichinja wewe hatuli kwa sababu hatujui umemtaja nani kuonyesha shukrani na utii !