swala vijana wa kiume kujenga misuli kwa steroids/protein ni ushamba na kutokujiamin

swala vijana wa kiume kujenga misuli kwa steroids/protein ni ushamba na kutokujiamin

1000563266.jpg
mimi na rafiki yangu tumeamua hivi baada ya kugundua madhara ya poda.
 
Tatizo la protein nini? Nijuavyo kazi ya protein mwilini ni kujenga muscles , ndio maana unashauriwa kula vykula vya protein kwa wingi
 
Back
Top Bottom