Swala ya Ijumaa ya jana Ilikuwa ya Kipekee Kabisa na Yenye Jambo kubwa Katika Mahusiano. Imenishangaza sana Tuna Mengi Hatujui.

Swala ya Ijumaa ya jana Ilikuwa ya Kipekee Kabisa na Yenye Jambo kubwa Katika Mahusiano. Imenishangaza sana Tuna Mengi Hatujui.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa.

Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka kusababisha nimwambe makofi kwa kutaka mnyima unyumba shemeji. Nlianza ona ana tatizo. Maana hatufikirii na sisi wengine inakuaje ikitokea akafukuzwa pale home.

Lakini nikawaza hapo anaweza sababisha Shemeji aoe mke wa pili. So nlikaa naye nikamwambia asifanye ujinga. Sisi tunamtegemea sasa analeta tena mapozi anataka nini? Na nlimwambia kabisa next time nitamtandika makofi haswa akileta tena ubabe.

Jana tumewaombea hawa wanawake wakaidi. Wakienda shule tu basi wanaanza zungumzia haki n.k sasa nadhani amekaa sawa. Sheikh alizungumza sana kuwa hawa wanawake wa siku hizi wachache sana wataenda akhera maana wengi kiakili ni muflis. Unamnyimaje tendo mumeo? Na huku unakaa hapo na ndugu zako? Huu jamani si ni uchawi kabisa? Nlishangaa maneno ya sheikh aligusa mule mule.
 
Hahahaha kwahiyo sister akinyanduliwa nyie mnakaa vizuri kumbe hama Kwa shemeji yako
 
Msaidie sister kugawa tunda, amani idumu milele
 
Unakaa kwa shemeji mkuu na unasikiliza ugomvi wao na dada yako?

Ngoja siku wagombane tena umsikie shemeji akimwambia dada’ako “basi kamwambie mdogo wako anipe yeye iwe zamu yake leo” utake kukimbia ukute milango imefungwa na funguo zipo chumbani kwa shemeji yako.
 
Back
Top Bottom