SWALI: Alisema amempendea Machine Mbona Kakubali kuwa Mke wa 2?!

Nilivyokuelewa mimi!
Dada yetu kampenda Dogo kwasababu dog ana machine!
sasa dogo kaoa mke wa pili.
Hivyo dogo kweli ana machine lakni dada yetu hawezi kuhimili!!!! Umenielewa! Hivyo dogo katafuta anayeweza kuhimili machine!
Mwalimu nimemaliza naomba unisahihishe!
 
Noooo noon noon noon nooooooo
Umbea wa shilawadu unasema
1. Dadako kaolewa mke wa Pili na Mwarabu wa Dubai
2. Dadako amepata shavu kuitangaza App moja ivi mpya
Tunauliza dogo kaachwa wap?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…