Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #21
Karibu tuletee kibuyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu tuletee kibuyu
Eh ndizi tena
Kumbe ndio huko tunapochuchumaa,basi hata mimi sikai sana[emoji3] [emoji3] kama weweWe huchuchumai instagram?!
Me nimeshapewa kitanda nalalaga kabisaaKumbe ndio huko tunapochuchumaa,basi hata mimi sikai sana[emoji3] [emoji3] kama wewe
Imani yako imekuponya! HahahahaSijawahi kuamini irene na dogo ni wanandoa! Hadi kesho sitaamini.
AlikaAlikatwa kama alivyokatwa mamvi yeye alikuwa TaboraHahahaha
Ivi dadaetu alikuwa Mbunge wa wap tena? ! Tabora au
Hahhahahhaha
Upo Bongo au?!Sijaelewa irene kaolewa tena?
Oh jamani! I Miss u tooNipo dada kimjinimjini hatuamkii wala nini...
heshima yako dadalake... ila sio kwa ukimya huo jamani...kwakweli nafurahi kukuona teinaaaaa
cc Smart911
Hehe hehe mguu wa punda